Asante kwa mchango wako mkuuOkay, hizi nadhani ndio tafsiri bora zaidi ya hiyo sentensi
"to relieve mother's head the bucket burden"
ama pia,
"to relieve the bucket burden from mother's head"
Sasa kama kuna tafsiri nzuri zaidi ya hii sijui,
Maana imetaja kila kitu, kutua=relieve, mama=mother, kichwa=head, ndoo=bucket
Mie sijapanda yale mabasi ya njano.
Relieve a distressed mother from carrying a bucket full of water on her head.
Wenye lugha yao hawabebi ndoo kichwani, ni vigumu hata ukiyapata maneno, Kwa msikilizaji hasa wenye lugha yao, kupata mantiki ya unachoongelea.Wakuu,
Hivi sentensi hii kwa kiingereza tunaweza kuisemaje?
"Kumtua mama ndoo kichwani"
Yaani kama vile unamwambia mgeni kwamba nchini kwetu tunataka kumtua mama ndoo kichwani.[emoji3]
Ahsante