kalacha mateo
Senior Member
- Sep 27, 2021
- 119
- 240
Bongo kitu kikishapanda bei hua hakishuki ,hiyo ndio kanuni nchi ya ajabu sana aiseeHapa bongo sijui kama meme utakujaga kushuka bei
Hiyo ni ndoto zaidi tutegemee kupanda kwa bei!Hapa bongo sijui kama meme utakujaga kushuka bei
Ukikumbuka danganya toto ya mkwere na gas utajua bei ya umeme itakuwajeHapa bongo sijui kama meme utakujaga kushuka bei
Kwa sababu kuna viraka vingi vya kuzibaBongo kitu kikishapanda bei hua hakishuki ,hiyo ndio kanuni nchi ya ajabu sana aisee
Bongo kitu kikishapanda bei hua hakishuki ,hiyo ndio kanuni nchi ya ajabu sana aisel
Hautashuka bei, ila kipato cha mtu mmoja mmoja kitaongezeka - hivyo kumudu kununua umeme kwa bei hiyo itakayopangwa. Hapo tukilinganisha na kipato cha sasa, utaona umeme bei poa.Hapa bongo sijui kama meme utakujaga kushuka bei
Itakuwa ni uwendawazimu kabisaHapa napo tutegemee Marehemu kusimangwa kila ikitokea dosari kwenye uzalishaji wa umeme kwenye hili bwawa!
gharama zitapanda mara dufu kwa kisingizio kuwa tulipe mikopoBongo kitu kikishapanda bei hua hakishuki ,hiyo ndio kanuni nchi ya ajabu sana aisee
September Vuli ilipoanzaWakina rope na mabepari walisema itachukua miaka 3 hadi 4 bwawa hilo kujaa maji na linaweza liweze kujaa milele kwa sababu ya mabadiliko ya tabianchi. Wangeanza kulijaza mwezi Septemba masika ilipoanza, saa hizi lingalikuwa limejaa top.
Habari yako si ya kitaalam sana, na una copy na kupaste bila kujua technical details zilizopo.Desemba 22,2022 Mhe. Rais Samia Suluhu alizindua zoezi la kuanza ujazwaji maji kweny Bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere. Hadi sasa mradi umebakiza asilimia 18 kukamilika huku ujazo wa maji ukiwa ni zaidi ya mita 133 kutoka usawa wa bahari.
Ujazo wa Bwawa la Nyerere lina ujazo wa lita za maji bilioni 33 ambazo ni mara kumi ya ujazo wa Bwawa la Mtera lenye ujazo wa bilioni 3. Sambamba na hilo tayari mtambo unaojulikana kama Runner umewasili. Mtambo huu una uzito wa tani 79 ambayo mingine 8 iko njiani inakuja.
View attachment 2525319
Ashukuriwe Mwamba JPM!Ni jambo jema
Kipato kitpandishwa na Nini ?Hautashuka bei, ila kipato cha mtu mmoja mmoja kitaongezeka - hivyo kumudu kununua umeme kwa bei hiyo itakayopangwa. Hapo tukilinganisha na kipato cha sasa, utaona umeme bei poa.