hiviii mara ya mwisho hizi MBUZI zako ziliongeza mshahara mwaka gani vilee?Hautashuka bei, ila kipato cha mtu mmoja mmoja kitaongezeka - hivyo kumudu kununua umeme kwa bei hiyo itakayopangwa. Hapo tukilinganisha na kipato cha sasa, utaona umeme bei poa.
Watanzania wanaotegemea mshahara ni wachache sana! Ni chini ya 10% ya watanzania wote!hiviii mara ya mwisho hizi MBUZI zako ziliongeza mshahara mwaka gani vilee?
Kitapandishwa na upatikanaji wa umeme wa uhakika na kueneza kwa wananchi wengi.Kipato kitpandishwa na Nini ?
Acha uongo walisema misimu miwili mpaka mitatu ya mvua.... Naona chuki tu zimekujaa. Ulitamani angefeli ushabikie!!!Wakina rope na mabepari walisema itachukua miaka 3 hadi 4 bwawa hilo kujaa maji na linaweza liweze kujaa milele kwa sababu ya mabadiliko ya tabianchi. Wangeanza kulijaza mwezi Septemba masika ilipoanza, saa hizi lingalikuwa limejaa top.
Umeme wa gesi?? Hvi una taarifa umeme wa pale Kinyerezi 1 na 2 unazalisha zaidi ya 65% ya umeme wa Tanzania?! Wanajenga Kinyerezi 2 extension hivyo umeme wa kutegemea gesi utafika zaidi ya 70%!!Hivi umeme wa gass uliishia wapi, tusubili tuone huo umeme maana maneno yasiwe mengi tutalaumiana sana na kusifiana hovyo ila kila mtu anakua sahihi Mfano nikikumbushia gass ntalaumiwa maana tuliaminishwa kama haya haya ya bwawa mwisho wa siku hovyo na sasa bwawa tuacheni maneno tusubilini tuone, ila nachojua mimi uendeshaji wa mitambo mikubwa kama hii ni gharama kubwa hivyo tutegemee gharama za umeme kua kubwa, watu wasitegemee kabisa umeme kua rahisi utakua wa uhakika ila utakua ghali na kwahali ya uchumi wa nchi hii watu watapiga kelele sana.
Mbona tunaongea lugha moja. Misimu ya mvua (aka masika) miwili hadi misimu mitatu ni sawa na miaka miwili hadi mitatu. Lakini bwawa limejaa top ndani ya msimu mmoja tu na walianza kulijanza miezi 3 baada ya msimu wa mvua kuanza. Masika huanza mwezi Septemba kumalizika mwezi Mei.Acha uongo walisema misimu miwili mpaka mitatu ya mvua.... Naona chuki tu zimekujaa. Ulitamani angefeli ushabikie!!!
Kuna watu kama wachawi vile
Mbona tunaongea lugha moja. Misimu ya mvua (aka masika) miwili hadi misimu mitatu ni sawa na miaka miwili hadi mitatu. Lakini bwawa limejaa top ndani ya msimu mmoja tu na walianza kulijanza miezi 3 baada ya msimu wa mvua kuanza. Masika huanza mwezi Septemba kumalizika mwezi Mei.
Yule fisadi si alituingiza chaka gesi yetu akawagawia wachina baada ya kulamba cha juu, halafu akataka gesi ya kufua umeme tuwe tunainunua toka uchina kwa bei wanayotaka wao. Mungu na amlipe kabisa kwa ufisadi wake!Hivi umeme wa gass uliishia wapi,
Ni Hivi, mkuu 'balimar', kama bado hujaisoma ramani ya Makamba na wenzake akina Maharage na Bodi iliyojaa walafi:Hapa bongo sijui kama meme utakujaga kushuka bei
Wewe unaangalia kipato cha mtu mmoja mmoja kwa maswala ya umeme?Hautashuka bei, ila kipato cha mtu mmoja mmoja kitaongezeka - hivyo kumudu kununua umeme kwa bei hiyo itakayopangwa. Hapo tukilinganisha na kipato cha sasa, utaona umeme bei poa.
HAta kama hakuna vilaka nchi zenye umeme sawa na huo umeme haushuki nyie mtashusha kwa kigezo kipi.Kwa sababu kuna viraka vingi vya kuziba
Mbona mnaweweseka sana?!!!!!!!! Vp, maombi yenu ya 'ashindwe' yanaelekea kushindwa nini?!!!Hapa napo tutegemee Marehemu kusimangwa kila ikitokea dosari kwenye uzalishaji wa umeme kwenye hili bwawa!
upoooooo