MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Sisi kuungana kuanzisha biashara pamoja kisha kuikuza na kufanya idumu ni ngumu sana. Partnership nyingi huishia kwenye uadui wa kudumu. Nilishawahi kuungana na jamaa zangu in my early 20s lakini haikudumu ila kwa bahati nzuri tuliachana kwa amani kabisa kupitia mwanasheria wetu.
Mimi naona kila mtu aanzishe biashara kivyake na kukomaa badala ya vikundi. Ila kama ni kikundi hakikisha malengo yako binafsi hayaathiriwi.
Mimi naona kila mtu aanzishe biashara kivyake na kukomaa badala ya vikundi. Ila kama ni kikundi hakikisha malengo yako binafsi hayaathiriwi.