MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Tamaa ,ubinafsi na kiburi lazima kwenye business partnership vikutupe kama sio salender basi kichwa huzikwi nacho .Sisi kuungana kuanzisha biashara pamoja kisha kuikuza na kufanya idumu ni ngumu sana. Partnership nyingi huishia kwenye uadui wa kudumu. Nilishawahi kuungana na jamaa zangu in my early 20s lakini haikudumu ila kwa bahati nzuri tuliachana kwa amani kabisa kupitia mwanasheria wetu.
Mimi naona kila mtu aanzishe biashara kivyake na kukomaa badala ya vikundi. Ila kama ni kikundi hakikisha malengo yako binafsi hayaathiriwi.
Sisi kuungana kuanzisha biashara pamoja kisha kuikuza na kufanya idumu ni ngumu sana. Partnership nyingi huishia kwenye uadui wa kudumu. Nilishawahi kuungana na jamaa zangu in my early 20s lakini haikudumu ila kwa bahati nzuri tuliachana kwa amani kabisa kupitia mwanasheria wetu.
Mimi naona kila mtu aanzishe biashara kivyake na kukomaa badala ya vikundi. Ila kama ni kikundi hakikisha malengo yako binafsi hayaathiriwi.
sorry mkuu unaweza nisaidia mlitumia njia gan kupata kikundi rasmi kinachotambulika kwenye taasisi za kifedha au kibishara?Sisi kuungana kuanzisha biashara pamoja kisha kuikuza na kufanya idumu ni ngumu sana. Partnership nyingi huishia kwenye uadui wa kudumu. Nilishawahi kuungana na jamaa zangu in my early 20s lakini haikudumu ila kwa bahati nzuri tuliachana kwa amani kabisa kupitia mwanasheria wetu.
Mimi naona kila mtu aanzishe biashara kivyake na kukomaa badala ya vikundi. Ila kama ni kikundi hakikisha malengo yako binafsi hayaathiriwi.
Mimi sijawahi kuomba mkopo au ruzuku kupitia kikundi. Ila ukitaka kusajili kikundi mwone mwanasheria aliyepo karibu nawe anaweza kukuongoza vizuri zaidi.sorry mkuu unaweza nisaidia mlitumia njia gan kupata kikundi rasmi kinachotambulika kwenye taasisi za kifedha au kibishara?
Uko sahihi. Kweli mafahali wawili hawakai zizi moja. Partnership ili idumu lazima awepo partner mmoja mwenye nguvu.Let me share my experience
Nilianza na Vijana watatu kama waajiriwa na sio wabia, wote walikuwa wameishia form 4, nikawa nawapa training na skills za hapa na pale
Kati ya hawa watatu mmoja aliniibia akasepa
Wawili nipo nao Mpaka Kesho
Ili workout nadhani kwasababu hakukuwa na mafahari wawili kwenye Zizzi moja tofauti na partnership ambapo kila mtu ni boss
Mlikuwa na Bodi, kampuni ilisajiliwa, kulikuwa na mgawanyo wa equity,na mgawanyo wa majukumu au mlifanya kila kitu kwa kufuata hisia na mihemko ywnu kiongoziSisi kuungana kuanzisha biashara pamoja kisha kuikuza na kufanya idumu ni ngumu sana. Partnership nyingi huishia kwenye uadui wa kudumu. Nilishawahi kuungana na jamaa zangu in my early 20s lakini haikudumu ila kwa bahati nzuri tuliachana kwa amani kabisa kupitia mwanasheria wetu.
Mimi naona kila mtu aanzishe biashara kivyake na kukomaa badala ya vikundi. Ila kama ni kikundi hakikisha malengo yako binafsi hayaathiriwi.
Unaweza Fanya yote na bado kikakulambaMlikuwa na Bodi, kampuni ilisajiliwa, kulikuwa na mgawanyo wa equity,na mgawanyo wa majukumu au mlifanya kila kitu kwa kufuata hisia na mihemko ywnu kiongozi
Tulifuata taratibu zote za kisheria. Na hata wakati tunasambaratika tulifuata sheria.Mlikuwa na Bodi, kampuni ilisajiliwa, kulikuwa na mgawanyo wa equity,na mgawanyo wa majukumu au mlifanya kila kitu kwa kufuata hisia na mihemko ywnu kiongozi
Hapo ukipata mtu wa kuwekeza na wewe ukaweka nguvu na hela basi ni biashara nzuriMimi nahitaji partner ship kwa biashara za ujenzi, wa nyumba za makazi
Sio tamaa naona ujinga na makuzi na malezi wanaumetunapenda kushindana sana, na kila mtu anataka ndio awe juu hata kwenye familia mwanaume akipata sio rahisi kuwainua wenzie ni rahisi kwa dada akipata fursa ni rahisi kuwainua wenzake na kuleta maendeleo home kuliko mwanaume. Mwanaume lazima awembinafsi ili awaringishie wenzake. Like skuli hatuoneshani majibu vipi tukikua tutaoneshana fursa, home ukiwa mdogo na ukipewa andazi unaambiwa kula ndani ndio utoke nje sasa utatoaje chako kwaajili ya wenzako nashindwa kuelewa!!!?Ni ngumu sana kwa Wabongo na hapo ndio watu kama Wachina, Wahindi, Wasomali na Waarabu wamapo tutimulia vumbi.
Wabongo tuna tamaa sana asikuambie mtu, kiwango cha tamaa tulicho nacho sio cha hij Sayari ya Dunia.
Partinership tuwaachie watu kama Wasomali, Wahindi, Waarabu na hata Wachina, nasikiaga Kampuni nyingi za Wachina hata zinazo pewa tebda huku Bongo ni za Partinership unakuta wako karibu 200 hivi.