Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa dada wa kazi keshaajiriwa mpaka aajiriwe?Watu wawili ni mke na mume ama ni boss na huyo dada wa kazi?
Kuna nini lakini,
Sasa dada wa kazi keshaajiriwa mpaka aajiriwe?
Ni mama mtu mzima na binti yakeWatu wawili ni mke na mume ama ni boss na huyo dada wa kazi?
Mama mtu mzimaJinsia ya Boss?
Mkuu nami nahitaji mshahara elfu 70. Hakuna mtoto. Ni mama mtu mzima na binti yake.Unahitaji hata wa kutoka hapa hapa mjini au lazima atoke kijijini?
Kama uko serious tuwasiliane
Hapana kaka ni mdada anahitajika. Familia yenyewe ni wanawake watupuMkuu je house boy hawaitaji!? Mi niko tayari!? Niko mkoani huku
Nami sijui kwa nini nimepata wasiwasi baada ya kusoma huu uziKUWENI MAKINI.
kuna jamaa alifanyiwa huu mchezo kuwa anahitajika house boy.
Alipoenda akakabwa na hela akachukuliwa.
Sisemi mleta mada anahusika ni TAHADHARI TU
Laki moja afu hawakai basi tatizo litakuwa kwenu mabossMimi nahitaj mshahara laki moja ni a watoto wawili wote wanaenda shule na kurud jion
Shida mabinti wa kazi siku hizi hawakai [emoji27]
Umentisha hadi nimeogopa! Nilitaka ni Apply hii Job.Basi tu watu hawajui....
Binadamu sio wa kuwaamini hata kidogo....
Moyo wa mtu kichaka.
#SelfDiscipline...