Kiokotee
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,675
- 2,211
Ahh! Basi.KUWENI MAKINI.
kuna jamaa alifanyiwa huu mchezo kuwa anahitajika house boy.
Alipoenda akakabwa na hela akachukuliwa.
Sisemi mleta mada anahusika ni TAHADHARI TU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahh! Basi.KUWENI MAKINI.
kuna jamaa alifanyiwa huu mchezo kuwa anahitajika house boy.
Alipoenda akakabwa na hela akachukuliwa.
Sisemi mleta mada anahusika ni TAHADHARI TU
Nichek 0786955427Mkuu nami nahitaji mshahara elfu 70. Hakuna mtoto. Ni mama mtu mzima na binti yake.
0786955427 nitafute ilamuwe tayar kutuma nauli kutoka iringa to dsmEneo la kazi Dar, Tegeta
Mshahara elfu 60
Nyumba ya watu wawili
Hakuna mtoto.
Kwa mawasiliano au kama kuna mtu anaye nicheki pm tafadhali
Mabosi wengine roho mbaya. Kisha tukitoka hapo tunawasema watu weupeLaki moja afu hawakai basi tatizo litakuwa kwenu maboss
Kama bado hujapata mimi niko tayariMimi nahitaj mshahara laki moja ni a watoto wawili wote wanaenda shule na kurud jion
Shida mabinti wa kazi siku hizi hawakai [emoji27]