MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Unaonaje ukajitolea wewe kushonwa na hao vijana ili wapate uzoefu kabla ya kuwashona mashangazi?Naungana na wewe mkuu ni kweli secta ya ushonaji imekua kwa kiasi fulani..
Ila naomba ombi kwa veta waongeze na hii fani ya ushonaji mishangazi..
Vijana wengi wanahitaji hii fursa ila kushona wengi hawajui hvo ni vema wakafundishwa njia sahihi za kuwashona mashangazi
Ahsante
Naweza kupata mawasiliano Yao?Morogoro kuna dada ana kiwanda Cha kushona t shirts,. long sleeves and Short sleeves,same color t shirts,Zina ubora kuzidi Manga or hot basic za China..moja anauza elfu 3 kwa bei ya JUMLA ,anapiga sana hela ana wafanyakazi zaidi ya 10...wenye maduka wanafata t shirt kwake..nishanunua. Tisheti 200 kwake
Nipe dakika tano...Naweza kupata mawasiliano Yao?
Tupia namba yake hapa. Mimi pia nauza sana hizo plain TshirtsMorogoro kuna dada ana kiwanda Cha kushona t shirts,. long sleeves and Short sleeves,same color t shirts,Zina ubora kuzidi Manga or hot basic za China..moja anauza elfu 3 kwa bei ya JUMLA ,anapiga sana hela ana wafanyakazi zaidi ya 10...wenye maduka wanafata t shirt kwake..nishanunua. Tisheti 200 kwake
Mkuu mbona kama unataka shari hivi...Unaonaje ukajitolea wewe kushonwa na hao vijana ili wapate uzoefu kabla ya kuwashona mashangazi?
Watu walimcheka Magu Alivyosema Charahani 4 ni kiwanda, ila Personally nimewahi kulipa Kodi 3M na turnover close to 100M kwa Charahani moja.Miaka kadhaa iliyopita nilibahatika kutembelea eneo la viwanda vya ushonaji huko Huanghuagang karibu na Ouzhuang & Dongshankou jimboni Guangdong, nchini China nikajifunza mengi. Ila kikubwa zaidi nilichojifunza ni kuwa wachina walichotuzidi ni skills tu kwenye ushonaji. Mashine wanazotumia ni hizi hizi cherehani tuzozijua ila skills zao ndo zinafanya nguo wanazoshona ziwe tofauti na za mafundi wetu. Nguo iliyoshonwa na mchina na iliyoshonwa na mbongo ni rahisi kuzitambua. Hii inahusu pia seremala na fani zingine.
Huu uzi nimeandika baada ya members ndugu Jerry001 , lost files na binti kiziwi ku-comment kwenye uzi mwingine kuhusu fani ya ushonaji. Naungana nao kuwa bado ni fani yenye soko inayoweza kumfanya mtu asilale njaa. Cha muhimu VETA wawe na waalimu wazuri huku vijana nao wakijiongeza na kujibidiisha kuongeza ujuzi. Hii itasaidia kuwa na mafundi wenye kazi nzuri wanaoweza kushindana kimataifa. Tukiwa na mafundi wazuri itapunguza kununua malonya ya kichina.
Pia ninaisihi serikali ije na mipango mizuri kuhusu FABRICS... kodi ipunguzwe kwa viwanda vya fabrics nchini ili kuwe na urahisi wa viwanda vidogo vidogo kumudu kushona nguo na kuuza kwa bei shindani. Kwa sasa nguo za kushona ni ghali kwa sababu ya ughali wa fabrics.
Number nimekosa nimempigia plug ndio ananitafutia,ila Kama mwenyeji wa Moro naweza kumuelekeza Mtaa zilipo,au kiwanda Cha polyster Morogoro nje Wana duka wanauza plain tisheti, kuhusu Bei na ubora utachagua..mimi nilinunua 4yrs ago chuo cha ardhi walitaka tishetiTupia namba yake hapa. Mimi pia nauza sana hizo plain Tshirts
Kuna biashara watu wanachulia za kawaida but mtu ukijiongeza inakutoa kabisa kimaisha.Morogoro kuna dada ana kiwanda Cha kushona t shirts,. long sleeves and Short sleeves,same color t shirts,Zina ubora kuzidi Manga or hot basic za China..moja anauza elfu 3 kwa bei ya JUMLA ,anapiga sana hela ana wafanyakazi zaidi ya 10...wenye maduka wanafata t shirt kwake..nishanunua. Tisheti 200 kwake
Hana page Instagram au Facebook?Number nimekosa nimempigia plug ndio ananitafutia,ila Kama mwenyeji wa Moro naweza kumuelekeza Mtaa zilipo,au kiwanda Cha polyster Morogoro nje Wana duka wanauza plain tisheti, kuhusu Bei na ubora utachagua..mimi nilinunua 4yrs ago chuo cha ardhi walitaka tisheti
Wakati mwingine acha ku-comment ujingaMkuu mbona kama unataka shari hivi...
Sasa mimi watanishonaje wakati mi mwanamume... Mama samia acha ukorofi
Kuhusu Fabric sio Ghali sana unless hujui pa kuipata kwa Tanzania tuna watu kama wa tatu ama wanne wakubwa wana deal na Fabric inayotokana na Pamba ya ndani.Miaka kadhaa iliyopita nilibahatika kutembelea eneo la viwanda vya ushonaji huko Huanghuagang karibu na Ouzhuang & Dongshankou jimboni Guangdong, nchini China nikajifunza mengi. Ila kikubwa zaidi nilichojifunza ni kuwa wachina walichotuzidi ni skills tu kwenye ushonaji. Mashine wanazotumia ni hizi hizi cherehani tuzozijua ila skills zao ndo zinafanya nguo wanazoshona ziwe tofauti na za mafundi wetu. Nguo iliyoshonwa na mchina na iliyoshonwa na mbongo ni rahisi kuzitambua. Hii inahusu pia seremala na fani zingine.
Huu uzi nimeandika baada ya members ndugu Jerry001 , lost files na binti kiziwi ku-comment kwenye uzi mwingine kuhusu fani ya ushonaji. Naungana nao kuwa bado ni fani yenye soko inayoweza kumfanya mtu asilale njaa. Cha muhimu VETA wawe na waalimu wazuri huku vijana nao wakijiongeza na kujibidiisha kuongeza ujuzi. Hii itasaidia kuwa na mafundi wenye kazi nzuri wanaoweza kushindana kimataifa. Tukiwa na mafundi wazuri itapunguza kununua malonya ya kichina.
Pia ninaisihi serikali ije na mipango mizuri kuhusu FABRICS... kodi ipunguzwe kwa viwanda vya fabrics nchini ili kuwe na urahisi wa viwanda vidogo vidogo kumudu kushona nguo na kuuza kwa bei shindani. Kwa sasa nguo za kushona ni ghali kwa sababu ya ughali wa fabrics.
Kama ni Morogoro wanaitwa 21st century ni Metl.Hana page Instagram au Facebook?
Kasema ni mtu binafsi na sio hao METLKama ni Morogoro wanaitwa 21st century ni Metl.
Nakushukuru sana kwa mchango wako. Hao wa Arusha watakuwa ni Sunflag... wana products nzuri ila bei sio rafiki kwa wajasiriamali wadogo. Pia wana masharti magumu hasa kwenye Minimum Order Quantity.Kuhusu Fabric sio Ghali sana unless hujui pa kuipata kwa Tanzania tuna watu kama wa tatu ama wanne wakubwa wana deal na Fabric inayotokana na Pamba ya ndani.
1. Nida Textiles wana Fabric sio level ya kimataifa ila inatumika sana kwenye vitu kama Madera, kangha, Vitenge na Mashuka
2. Metl according to them wanazalisha mita milioni 100 za Fabric kwa mwaka, hawa wana deal na kangha, Vitenge, T-shirt za Polo zile, uniform za madaktari, wanajeshi, Mablanket, mashuka ya Shule, wamasai etc.
3. Kuna Jambo sema hawa wana deal na nyuzi zaidi, ambazo baadae zinakua fabric.
4. Kuna kiwanda cha Arusha ambacho jina lake nalisahau kila siku ila wana Agent mbele ya Duka la khimji mjini, wana fabric nzuri nazo hawa ndio waanzilishi wa mashuka ya Cotton yanayotumika taasisi mbalimbali kama shule majeshi etc.
Mkuu sisi tuna wa Tengenezea hadi Usa nguo, Levis na Wrangler nyingi tu ni made in Tanzania. Issue ya Fabric na Nguo kwa ujumla tunajitahidi sana Ukanda huu wa Africa.