Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Niwatakie usiku mwema ila naamini walifanya makosa ya kiufundi kuacha kumchukua . Anyway mwakani wasirudie kosa
Wakumbushe waaache Nafasi ya MUZAMIRU YASSIN maana huko Simba kabaki muosha vyombo akisubir kutua Utopoloni kula PensheniNiwatakie usiku mwema ila naamini walifanya makosa ya kiufundi kuacha kumchukua . Anyway mwakani wasirudie kosa
Kazeeka sanaNiwatakie usiku mwema ila naamini walifanya makosa ya kiufundi kuacha kumchukua . Anyway mwakani wasirudie kosa
Sababu zipo nyingi,bali muhimu ni hizi:Niwatakie usiku mwema ila naamini walifanya makosa ya kiufundi kuacha kumchukua . Anyway mwakani wasirudie kosa
Tatizo la Yanga, sio mahitaji, bali ROHO MBAYA fulani hivi. Yeye anakula WALI KUKU, lakini anamuonea wivu anayekula na 'KUSHIBA' ugali na mrenda! Anatamani auchukue huo MRENDA, ambao hauliki ukiutumia kwenye WALI KUKU.Sababu zipo nyingi,bali muhimu ni hizi:
wana namba 2 kibwana shomari na kwasi yao ambae hivi sasa anafanya mazoezi kutejedha utimamu wake wa mwili na ni mchezaji mzuri sana
2.kibwana ni mchezaji mzuri sana.Sasa yanga haiwezi tena kusajili nbav2 mwingine
Bado hajafikia muda wa kustaafu kucheza Simba. Muda ukifika atakuja tu. Msubirieni!!Niwatakie usiku mwema ila naamini walifanya makosa ya kiufundi kuacha kumchukua . Anyway mwakani wasirudie kosa
Kapombe na Jeshi, currently jeshi yupo vizuri so hamna haja ya kumchukua Kapombe.Niwatakie usiku mwema ila naamini walifanya makosa ya kiufundi kuacha kumchukua . Anyway mwakani wasirudie kosa
Si mpaka Simba wamuacheNiwatakie usiku mwema ila naamini walifanya makosa ya kiufundi kuacha kumchukua . Anyway mwakani wasirudie kosa