Bado kidogo waseme "wananchi" wataanza kusema walichokuwa wanawacheka nacho simba: Tumekufa kiume!

Bado kidogo waseme "wananchi" wataanza kusema walichokuwa wanawacheka nacho simba: Tumekufa kiume!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Suala la kufa kiume mmeshalikataa, tusiwasikie mnasema "tumekufa kiume".
 
Suala la kufa kiume mmeshalikataa, tusiwasikie mnasema "tumekufa kiume". Labda semeni TUMEKUFA KIKE!!
hakuna aliyewapangia nyie mseme mmekufa kiume so hamuwezi kutupangia cha kusema juu ya kufungwa kwetu na uzuri zaidi tarehe 3 tunaendeleza mapambano why tuseme tumekufa???BORA KUCHAGUA ANDAZI
 
kufungwa afungwe YANGA lakini wanaoumia, kuweweseka na kupata sonona ni makolo... kweli nyie ni mambumbumbu, madunduga
 
kufungwa afungwe YANGA lakini wanaoumia, kuweweseka na kupata sonona ni makolo... kweli nyie ni mambumbumbu, madunduga
Hapana tumeumia wote, si unajua anapeperusha bendera ya Tz au?
 
Back
Top Bottom