M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 13,897 Reaction score 18,477 May 29, 2023 #1 Suala la kufa kiume mmeshalikataa, tusiwasikie mnasema "tumekufa kiume".
dem boy JF-Expert Member Joined Nov 4, 2016 Posts 6,580 Reaction score 15,739 May 29, 2023 #2 mbingunikwetu said: Suala la kufa kiume mmeshalikataa, tusiwasikie mnasema "tumekufa kiume". Labda semeni TUMEKUFA KIKE!! Click to expand... hakuna aliyewapangia nyie mseme mmekufa kiume so hamuwezi kutupangia cha kusema juu ya kufungwa kwetu na uzuri zaidi tarehe 3 tunaendeleza mapambano why tuseme tumekufa???BORA KUCHAGUA ANDAZI
mbingunikwetu said: Suala la kufa kiume mmeshalikataa, tusiwasikie mnasema "tumekufa kiume". Labda semeni TUMEKUFA KIKE!! Click to expand... hakuna aliyewapangia nyie mseme mmekufa kiume so hamuwezi kutupangia cha kusema juu ya kufungwa kwetu na uzuri zaidi tarehe 3 tunaendeleza mapambano why tuseme tumekufa???BORA KUCHAGUA ANDAZI
Ahyan JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 2,310 Reaction score 5,482 May 29, 2023 #3 kufungwa afungwe YANGA lakini wanaoumia, kuweweseka na kupata sonona ni makolo... kweli nyie ni mambumbumbu, madunduga
kufungwa afungwe YANGA lakini wanaoumia, kuweweseka na kupata sonona ni makolo... kweli nyie ni mambumbumbu, madunduga
M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 13,897 Reaction score 18,477 May 29, 2023 Thread starter #4 Ahyan said: kufungwa afungwe YANGA lakini wanaoumia, kuweweseka na kupata sonona ni makolo... kweli nyie ni mambumbumbu, madunduga Click to expand... Hapana tumeumia wote, si unajua anapeperusha bendera ya Tz au?
Ahyan said: kufungwa afungwe YANGA lakini wanaoumia, kuweweseka na kupata sonona ni makolo... kweli nyie ni mambumbumbu, madunduga Click to expand... Hapana tumeumia wote, si unajua anapeperusha bendera ya Tz au?
Ahyan JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 2,310 Reaction score 5,482 May 29, 2023 #5 mbingunikwetu said: Hapana tumeumia wote, si unajua anapeperusha bendera ya Tz au? Click to expand... nawaonea huruma makolo... mtapata sana sonona kwasababu ya mafanikio ya YANGA
mbingunikwetu said: Hapana tumeumia wote, si unajua anapeperusha bendera ya Tz au? Click to expand... nawaonea huruma makolo... mtapata sana sonona kwasababu ya mafanikio ya YANGA
M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 13,897 Reaction score 18,477 May 29, 2023 Thread starter #6 Ahyan said: nawaonea huruma makolo... mtapata sana sonona kwasababu ya mafanikio ya YANGA Click to expand... Kumbe kufungwa nyumbani kwako ni mafanikio au?
Ahyan said: nawaonea huruma makolo... mtapata sana sonona kwasababu ya mafanikio ya YANGA Click to expand... Kumbe kufungwa nyumbani kwako ni mafanikio au?