Bado Km 51 ili Kigoma-Dar iwe lami. Rais Samia anaenda kuunganisha mikoa yote kwa lami

Ukiona una mtoto mwenye hulka zinazofanana na mtoa post haraka sana kambadirishe na pepeta iambulie, maana wahuni si watu wazuri, awachelewi kufanyi wali ukawa bwabwa kisha wale kisamvu kopo.
 
Unateseka na chuki 😁😁.Safi sana Hadi upigwe na vidonda vya tumbo Ili ukome
 
Kwani mawazo ya kutanua Barabara yameisha na msukule wenu?

Au wakati ni Rais alikuta hakuna Barabara Tzn?

Umevimbiwa upumbavu
Mbona kama unatokwa povu tena na tumekubaliana tuwe machawa wa samia? Au unataka peke yako ndo uwe u anasifia? Unaonea hadi wivu wenzio? Astaghafilulah.... Sheikh waanza nitukana hadi nami? U hali gani huko uliko? 😃
 
Povu Kwangu ni kawaida.

Yule msukule wenu si alishindwa kuunganisha Barabara za Mikoa Kwa hiyo Tulia Samia awafundishe kazi.
 
😅😄😁🤣😀😀😅😄😄😄😁😁😀😀😀😀😅😄😄😁😁
 
Tukiwaambia kwamba hakuna alichofanya Cha maana Mwendazake kwenye Barabara za lami wakati wa Uongozi wake muwe mnaelewa.

Imagine Hadi Leo hii huwezi fika Kigoma bila kutembea kwenye mavumbi na hali Iko hivyo kwenye Mikoa Mingi sana.

Sasa kipele kimepata mkunaji ambao km 51 zilizosalia zinaenda kukamilika kabla ya desemba 2024 hivyo Kigoma-Dar itakuwa lami.Kazi hii ya kutukuka anaifanya Rais Samia.

View attachment 2764695
View attachment 2764700

BADO KM 51.1 KUUNGANISHA TABORA-KIGOMA KWA LAMI

IMEELEZWA kuwa bado kilomita 51.1 ili kuunganisha mikoa ya Tabora na Kigoma kwa barabara ya lami na hivyo kuandika historia ya aina yake nchini.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya alipokagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Tabora- Kigoma sehemu ya Kazilambwa-Chagu yenye urefu wa KM 36 na Malagarasi-Ilunde-Uvinza KM 51.1.

“Kwa kweli nimeridhika na kasi ya ujenzi sehemu ya Kazilambwa-Chagu yenye urefu wa KM 36 ambayo ujenzi wake umefikia asilimia 99”, amesema Eng. Kasekenya.

Naibu Waziri huyo amemtaka mkandarasi STECOL Cooperation Ltd anayejenga sehemu ya Malagarasi-Ilunde-Uvinza KM 51.1 kufanya kazi usiku na mchana ili kuandika historia ya kuunganisha mikoa ya Tabora na Kigoma kwa lami mapema iwezekanavyo.

Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoa wa Kigoma Eng. Narcis Choma amesema ujenzi huo umefikia asilimia 45 na watamsimamia kikamilifu mkandarasi ili maeneo yanayoweza kuathiriwa na mvua yakamilishwe mapema ili kuepuka visingizio na kuwawezesha wasafiri na wasafirishaji wa mikoa hiyo kunufaika na barabara ya kisasa.

Zaidi ya shilingi bilioni 62.7 zinatumika katika ujenzi huo ambazo ni matapo ya ndani na mkopo nafuu kutoka mifuko ya OPEC na Abu Dhabi.

Katika hatua nyingine Naibu Waziri Kasekenya amemtaka Mbunge wa Urambo Mhe. Margareth Sitta kuhamasisha wananchi wa jimbo hilo kulinda miundombinu inayojengwa katika jimbo hilo ikiwemo taa na alama za barabarani ili kuepusha ajali na kuendana na kasi ya Serikali ya kupendezesha barabara nchini.

“Tunawajengea barabara na mzunguko wa kisasa round about ili kupunguza ajali eneo lililokuwa na kona kali na kutengeneza taswira nzuri ya Urambo hivyo hakikisheni miundombinu hii inalindwa na kuendelezwa kwani inatumia fedha nyingi za Serikali “, amesisitiza Naibu Waziri Kasekenya.

Kwa upande wake Mhe. Margareth Sitta ameishukuru Serikali kwa uwekezaji mkubwa wa miundombinu ya kisasa katika wilaya ya Urambo na kuahidi kutoa elimu kwa wananchi kuthamini uwekezaji mkubwa unaofanywa na Serikali ili kuchochea maendeleo ya wananchi.

View: https://youtu.be/wmpjkZkgfR4?si=PuPssK4vU2XqJbXx

Nawakumbusha tuu mradi ulianza tarehe 7/10/2021 baada ya Rais Samia kuingia madarakani,hakuna Cha Mwendazake kuanzisha na blaa blaa kama hizo,huku section ya kwanza Kigoma-Malagarasi alijenga JK

View: https://youtu.be/MfRWwiENKz8?si=S4TOiH1TvwP7NTKs

Yapo mashoga utayasikia yakisema kwa kubana pua "ccm hakuna ilichofanya, ushoga mbaya Sana hasa ukikuingia akilini unatia upofu"
 
Ni baada ya miaka 62 toka tupate Uhuru. Ndio tunategemea kuungamisha Mikoa kwa barabara za lami.

Kuunganisha Wilaya kwa barabara za lami nadhani itachukua miaka 100 iwapo Chama kilichotuongoza tokea kupata Uhuru kitaendelea kuwepo madarakani!
 
Tukiwaambia kwamba hakuna alichofanya Cha maana Mwendazake kwenye Barabara za lami wakati wa Uongozi wake muwe mnaelewa.

Imagine Hadi Leo hii huwezi fika Kigoma bila kutembea kwenye mavumbi na hali Iko hivyo kwenye Mikoa Mingi sana.

Sasa kipele kimepata mkunaji ambao km 51 zilizosalia zinaenda kukamilika kabla ya desemba 2024 hivyo Kigoma-Dar itakuwa lami.Kazi hii ya kutukuka anaifanya Rais Samia.

View attachment 2764695
View attachment 2764700

BADO KM 51.1 KUUNGANISHA TABORA-KIGOMA KWA LAMI

IMEELEZWA kuwa bado kilomita 51.1 ili kuunganisha mikoa ya Tabora na Kigoma kwa barabara ya lami na hivyo kuandika historia ya aina yake nchini.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya alipokagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Tabora- Kigoma sehemu ya Kazilambwa-Chagu yenye urefu wa KM 36 na Malagarasi-Ilunde-Uvinza KM 51.1.

“Kwa kweli nimeridhika na kasi ya ujenzi sehemu ya Kazilambwa-Chagu yenye urefu wa KM 36 ambayo ujenzi wake umefikia asilimia 99”, amesema Eng. Kasekenya.

Naibu Waziri huyo amemtaka mkandarasi STECOL Cooperation Ltd anayejenga sehemu ya Malagarasi-Ilunde-Uvinza KM 51.1 kufanya kazi usiku na mchana ili kuandika historia ya kuunganisha mikoa ya Tabora na Kigoma kwa lami mapema iwezekanavyo.

Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoa wa Kigoma Eng. Narcis Choma amesema ujenzi huo umefikia asilimia 45 na watamsimamia kikamilifu mkandarasi ili maeneo yanayoweza kuathiriwa na mvua yakamilishwe mapema ili kuepuka visingizio na kuwawezesha wasafiri na wasafirishaji wa mikoa hiyo kunufaika na barabara ya kisasa.

Zaidi ya shilingi bilioni 62.7 zinatumika katika ujenzi huo ambazo ni matapo ya ndani na mkopo nafuu kutoka mifuko ya OPEC na Abu Dhabi.

Katika hatua nyingine Naibu Waziri Kasekenya amemtaka Mbunge wa Urambo Mhe. Margareth Sitta kuhamasisha wananchi wa jimbo hilo kulinda miundombinu inayojengwa katika jimbo hilo ikiwemo taa na alama za barabarani ili kuepusha ajali na kuendana na kasi ya Serikali ya kupendezesha barabara nchini.

“Tunawajengea barabara na mzunguko wa kisasa round about ili kupunguza ajali eneo lililokuwa na kona kali na kutengeneza taswira nzuri ya Urambo hivyo hakikisheni miundombinu hii inalindwa na kuendelezwa kwani inatumia fedha nyingi za Serikali “, amesisitiza Naibu Waziri Kasekenya.

Kwa upande wake Mhe. Margareth Sitta ameishukuru Serikali kwa uwekezaji mkubwa wa miundombinu ya kisasa katika wilaya ya Urambo na kuahidi kutoa elimu kwa wananchi kuthamini uwekezaji mkubwa unaofanywa na Serikali ili kuchochea maendeleo ya wananchi.

View: https://youtu.be/wmpjkZkgfR4?si=PuPssK4vU2XqJbXx

Nawakumbusha tuu mradi ulianza tarehe 7/10/2021 baada ya Rais Samia kuingia madarakani,hakuna Cha Mwendazake kuanzisha na blaa blaa kama hizo,huku section ya kwanza Kigoma-Malagarasi alijenga JK

View: https://youtu.be/MfRWwiENKz8?si=S4TOiH1TvwP7NTKs

Chawa ungejua kati ya Marais ambao hawajengi barabara ni Samia usinge andika haya!
Makelele ni mengi kuliko uhalisia!
 
Hawajengi kutoka mdomoni mwako au kutoka site? 😁😁

Mwendazake si reli si Barabara hakuna alichofanikiwa.
 
Zile km 51 Sasa rasmi zimekamilika 🔥🔥👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFcB6jRNfxE/?igsh=YmdsaThjY2ZyZm56
 
Back
Top Bottom