Bado kuna mtu anaamini 29 Sep kuna uchaguzi?

Hakuna!, ila bado kunambuzi na ng'ombe wachache sana wanaamini bado upo...
 
Mimi ninachofahamu siku hiyo kuna maigizo ya hapa na pale. Na siyo uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…