Habari za jioni wanajamii. Bila Shaka safari ya Harmonize kwenye muziki nje ya WCB imepamba Moto. Hype iliyoonekana kwenye wimbo wake wa attitude bila Shaka imeonyesha nguvu yake kwa hapa bongo. Hype za namna hii kiukweli alikuwa anaweza kuzitengeneza diamond tu. Kwa Sasa Harmonize amefuzu na kwakweli wasiompenda wajipange. Safari ndo imeanza. Kumbuka project ya ALBUM ya highschool inatoka May. Tukubali tukatae diamond alionyesha njia Sasa Harmonize ndo yule tuliemsubiri kwa miaka mingi kupokea kijiti. Diamond hype imeisha . Hashtuiiii.... Habari zake hata insta hazishtuiiiii. Kwakweli wasiompenda Harmonize kazi wanayoooooo. He is currently the king of bongofleva.