Bado kuna wanaobisha misiba ni mingi kuliko mwaka jana

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Hii Corona haiui kwenye kitu kimoja wakati mwingine inachochoe ugojwa mwingine na nampongeza sana Magu kwa kujificha kijijini kwa zaidi ya mwezi.

Kila siku tutasikia misiba lakini kibaya wale wengi ambao si wanasiasa hatuwasikiia.Tuombe Mungu dawa ipatikane maana hali ni mbaya.

Pamoja na ukweli kwamba ni ngumu kufunga la kuomba ni dawa kupatikana.
 
Of course, inawezekana vifo mwaka huu ni vingi sana, na siwezi kushangaa kwa sababu hata mahali kama Dar es salaam ambako kwa kawaida kuna msimu mmoja tu wa mvua lakini kwa sasa tangia mwaka jana mwezi wa 9 mvua zimeendelea kunyesha na hazijakata bado!

Matokeo yake, madimbwi ya maji yameongezeka na yanashindwa kukauka kutokana na mvua za mara kwa mara, hali inayopelekea kuongezeka kwa mazalia ya mbu and eventually kuongezeka kwa ugonjwa wa malaria!

Pamoja na kuongezeka kwa malaria, hizi mvua zinasababisha baridi za mara kwa mara na hali inayopelekea kuibuka kwa magonjwa ya vichomi na pumu!

Kuongezeka kwa malaria, vichomi, pumu ambayo husababisha changamoto ya upumuaji; yote hayo kwa pamoja bila shaka yana uwezo mkubwa wa kuongeza vifo!

Una lingine?!
 
Hii Corona haiui kwenye kitu kimoja wakati mwingine inachochoe ugojwa mwingine na nampongeza sana Magu kwa kujificha kijijini kwa zaidi ya mwezi.

Kila siku tutasikia misiba lakini kibaya wale wengi ambao si wanasiasa hatuwasikii. Tuombe Mungu dawa
Mkuu Kamundu , headline haiendani na main body, kwenye headline unazungumzia misiba mingi kuliko mwaka jana, hii ni issue ya data, subiri tufike mwisho wa mwaka, kisha tupate death toll ya mwaka jana compared na ya mwaka huu!.

Matangazo tuu ya vifo ndio mengi, ila jumla ni subiri mwisho wa mwaka, Wote wanaokufa kwa Corona walikuwa na issues zao za kiafya kabla, Corona ni kuwawahisha tuu.

Mzee Baba hajajificha, he is working from Ikulu ya Chato na kila siku tunamuona anapiga kazi kutokea pale unasema kajificha, kajificha vipi wakati pale ni kwake?!

P
 
P,

Umekuwa mwanasiasa siku hizi brother. Sijapinga kabisa mzee kufanyia kazi Chato hata mimi bafanyia kazi nyumbani. Hili ni janga na ni vizuri kujihami. Lakini tusiweke sifa kama vile mambo ni shwari. Nimepata message leo kutoka Ernest & Young kuna dada mmoja kafiwa na mume mkuu wa wilaya. Sio Tanzania tu kila mahali ni issue.
 
Si nia ya uzi huu kuorodhesha visa vya tanzia tangia kuondokewa bila ya kutarajia na mama yetu mpendwa mama mchungaji. Ikumbukwe kuwa majina ambayo yamekuwa yakiripotiwa ikiwamo humu jamvini ni yale yenye kuhusisha majina makubwa makubwa tu.

Hapa ninaangazia matukio ya juzi peke yake kutokea katika maeneo ya vijijini kuonyesha hali iko je:

Juzi katika mazingira tata kama yanazolingana na sababu za tanzia zinazowekwa humu jamvini siku za hivi karibuni, mkuu wa kituo cha polisi Nyakanazi (Biharamulo) naye katangulia mbele za haki.

Mtu mdogo huyo vijijini huko. Kufariki kwake hakukuonekana mahali popote.

Juzi hiyo hiyo maeneo karibu na mizani ya Nyakahura (Biharamulo) amefariki mtu njiani akipelekwa hospitali akiwa na matatizo ya kupumua.

Juzi hiyo hiyo huko Kahama (Shinyanga) ofisa halmashauri wa wilaya alifariki ghafla kwa matatizo kama hayo hayo ya kupumua.

Nani anawajua wadogo hawa huko madongo kuinama kiasi cha kufanya iwe habari ya kuripotiwa popote? Hii ikizingatiwa pia kuwa, hata kwa hao wakubwa juhudi za kudunisha matukio yao zimekuwa kubwa kwa kiasi tunachokiona?

Hebu basi hata tuweke japo sababu za vifo pembeni. Hata kujiuliza tu, hivi hii kasi ya vifo ni sawa sawa pia hamna?

Tumekuwa kama tuliopigwa upofu. Tunetekwa na shetani. Tumekuwa mawakala kamili na waaminifu wa shetani. Hatuoni wala hatusikii hadi pale mmoja mmoja litakapomfika peke yake mlangoni?

Nakumbuka kale kawimbo:

"nyoka huyo, nyoka huyo" (kibwagizo)
"Mwache apite" (kiitikio)

"nyoka huyo, nyoka huyo" (kibwagizo)
"Mwache apite" (kiitikio)

Hadi wote wanaangamia na nyoka wakiwa wakiitik ia acha apite.

Matukio ni mengi sana lakini ajabu ya Mussa pana kaupepo kengine siku za hivi karibuni ka kuona mtu au watu kufa ni jambo la kawaida. Hakuna kujali wala kufuatilia. Eti kuwa hata zamani watu walikuwa wanakufa.

Walikuwa wanakufa hivi?

Dalili kamili za kumtumikia shetani.

Enyi mnaodunisha vifo vya wengine ni vyema mkajitathimni:

"you could be in possession of the devil. Faithful agents of the devil himself".

Badilikeni jamani mnatia kinyaa.
 
Kiukweli hali ni mbaya sana kuliko tunavyoambiwa au kudhania. Majuzi nikiwa nchini Korea Mashariki katika mji mkuu wake nilibahatika kukutana na mtu wangu wa karibu ambaye ana karibu wiki tatu tangu apelekwe kufanya kazi katika moja ya hospitali zinazopokea wagonjwa wa covid-19 inayojulikana kwa jina la Armana Akaunti.

Ni ile hospitali ambayo alilazwa mtu mmoja mchekeshaji wa kiwango cha kawaida na muigizaji anaefanana sana na yule mcheza dansi maarufu wa bendi ya Pepe Kalle na hatimaye ikasemekana huyo mgonjwa ameigizia pale hospitalini igizo fupi la Prison Break.

Alichoniambia huyo jamaa yangu ni kwamba tangu amepelekwa pale ameshiriki kwenye mazishi ya watu wasiopungua 50 ambao vifo vyao vimetokana na covid-19. Kama hayo aliyoyasema ni ya kweli au si ya kweli mimi siwezi kujua. Lakini muhimu tuwe makini tatizo lipo na ni kubwa sana.
 
Si nia ya uzi huu kuorodhesha visa vya tanzia tangia kuondokewa bila ya kutarajia na mama yetu mpendwa mama mchungaji. Ikumbukwe kuwa majina ambayo yamekuwa yakiripotiwa ikiwamo humu jamvini ni yale yenye kuhusisha majina makubwa makubwa tu.

Hapa ninaangazia matukio ya juzi peke yake kutokea katika maeneo ya vijijini kuonyesha hali iko je:

Juzi katika mazingira tata kama yanazolingana na sababu za tanzia zinazowekwa humu jamvini siku za hivi karibuni, mkuu wa kituo cha polisi Nyakanazi (Biharamulo) naye katangulia mbele za haki.

Mtu mdogo huyo vijijini huko. Kufariki kwake hakukuonekana mahali popote.

Juzi hiyo hiyo maeneo karibu na mizani ya Nyakahura (Biharamulo) amefariki mtu njiani akipelekwa hospitali akiwa na matatizo ya kupumua.

Juzi hiyo hiyo huko Kahama (Shinyanga) ofisa halmashauri wa wilaya alifariki ghafla kwa matatizo kama hayo hayo ya kupumua.

Nani anawajua wadogo hawa huko madongo kuinama kiasi cha kufanya iwe habari ya kuripotiwa popote? Hii ikizingatiwa pia kuwa, hata kwa hao wakubwa juhudi za kudunisha matukio yao zimekuwa kubwa kwa kiasi tunachokiona?

Hebu basi hata tuweke japo sababu za vifo pembeni. Hata kujiuliza tu, hivi hii kasi ya vifo ni sawa sawa pia hamna?

Tumekuwa kama tuliopigwa upofu. Tunetekwa na shetani. Tumekuwa mawakala kamili na waaminifu wa shetani. Hatuoni wala hatusikii hadi pale mmoja mmoja litakapomfika peke yake mlangoni?

Nakumbuka kale kawimbo:

"nyoka huyo, nyoka huyo" (kibwagizo)
"Mwache apite" (kiitikio)

"nyoka huyo, nyoka huyo" (kibwagizo)
"Mwache apite" (kiitikio)

Hadi wote wanaangamia na nyoka wakiwa wakiitik ia acha apite.

Matukio ni mengi sana lakini ajabu ya Mussa pana kaupepo kengine siku za hivi karibuni ka kuona mtu au watu kufa ni jambo la kawaida. Hakuna kujali wala kufuatilia. Eti kuwa hata zamani watu walikuwa wanakufa.

Walikuwa wanakufa hivi?

Dalili kamili za kumtumikia shetani.

Enyi mnaodunisha vifo vya wengine ni vyema mkajitathimni:

"you could be in possession of the devil. Faithful agents of the devil himself".

Badilikeni jamani mnatia kinyaa.
Inabidi viongozi wetu wajifunze kuhesabu zaidi ya 16. Tuna kazi uchaguzi ujao.
 
Korona19 is real mkuu,tuchukue tahadhari kama wataalamu wa WHO walivyoshauri kamwe tusiwasikilize wanasiasa na tantalila zao.
 
Ishu sio kuchukulia kinachotokea kwa wepesi. suala ni kusema ukweli. wanaotutoka wanatoka kwa ugonjwa gani? hapa wenye mamlaka wameficha ukweli na kutulazimisha tuitikie kibwagizo cha matatizo ya kupumua. najua jf kuna madaktari na wataalamu wa afya. waje hapa watuambie huu ugonjwa wa "matatizo ya kupumua" umeanza lini? dalili zake ni zipi?

Sisi(watoto) tumelelewa hivyo kimizaha ndivyo tunakua hivyo kimizaha. mamlaka hazipo makini na wana wananchi hawapo makini pia! umakini umepungua kwa sababu tunafikiri tatizo la korona limekwisha kwa kuwa hakuna vifo vya korona ila ni matatizo ya upumuaji. labda mleta mada utuambie unafikiri hivi vifo vinatokana na nini?
 
uyo wa kahama sio kweli mkuu

Una uhakika na ulichoandika? Mkuu mbona wengine hatupendi kabisa kutaja majina ya watu?

Kuhusiana na Kahama, ulizia halmashauri ya wilaya kitengo cha Ardhi watakwambia. Ila ikibidi nitakupa majina hata yote pia yakiwamo wa Nyakahura na Nyakanazi.

Acheni kuwa merchants of death.

Kama nyie haiwaumi sisi inatuuma sana. Mnakuwa wenzetu kama mnaishi sayari nyingine. Watu wa namna gani nyie?
 
Korona19 is real mkuu,tuchukue tahadhari kama wataalamu wa WHO walivyoshauri kamwe tusiwasikilize wanasiasa na tantalila zao.

Mkuu tahadhari gani hizo ambazo yule RC alishindwa kuchukua? Kwa maneno yake alisema: "sijui ni sharti lipi sikuzingatia". Mwisho wa kumnukuu.
 
Pamoja na kupigwa kimya, tatizo lipo na watu wanafariki hata kama hatupewi taarifa na wanaotakiwa kutoa ila wenye uwezo wa kusema na kupeana taarifa sisi na sisi tunazipata.
 
Katika utafiti unaofanywa katika Chuo Kiki cha Oxford nchini Uingereza umeonyesha kuwa wanaume wako katika hatari mara mbili ya wanawake kukabiliana na kifo kutokana na maambukizi ya Covid-19.
 
Si nia ya uzi huu kuorodhesha visa vya tanzia tangia kuondokewa bila ya kutarajia na mama yetu mpendwa mama mchungaji. Ikumbukwe kuwa majina ambayo yamekuwa yakiripotiwa ikiwamo humu jamvini ni yale yenye kuhusisha majina makubwa makubwa tu.

Hapa ninaangazia matukio ya juzi peke yake kutokea katika maeneo ya vijijini kuonyesha hali iko je:

Juzi katika mazingira tata kama yanazolingana na sababu za tanzia zinazowekwa humu jamvini siku za hivi karibuni, mkuu wa kituo cha polisi Nyakanazi (Biharamulo) naye katangulia mbele za haki.

Mtu mdogo huyo vijijini huko. Kufariki kwake hakukuonekana mahali popote.

Juzi hiyo hiyo maeneo karibu na mizani ya Nyakahura (Biharamulo) amefariki mtu njiani akipelekwa hospitali akiwa na matatizo ya kupumua.

Juzi hiyo hiyo huko Kahama (Shinyanga) ofisa halmashauri wa wilaya alifariki ghafla kwa matatizo kama hayo hayo ya kupumua.

Nani anawajua wadogo hawa huko madongo kuinama kiasi cha kufanya iwe habari ya kuripotiwa popote? Hii ikizingatiwa pia kuwa, hata kwa hao wakubwa juhudi za kudunisha matukio yao zimekuwa kubwa kwa kiasi tunachokiona?

Hebu basi hata tuweke japo sababu za vifo pembeni. Hata kujiuliza tu, hivi hii kasi ya vifo ni sawa sawa pia hamna?

Tumekuwa kama tuliopigwa upofu. Tunetekwa na shetani. Tumekuwa mawakala kamili na waaminifu wa shetani. Hatuoni wala hatusikii hadi pale mmoja mmoja litakapomfika peke yake mlangoni?

Nakumbuka kale kawimbo:

"nyoka huyo, nyoka huyo" (kibwagizo)
"Mwache apite" (kiitikio)

"nyoka huyo, nyoka huyo" (kibwagizo)
"Mwache apite" (kiitikio)

Hadi wote wanaangamia na nyoka wakiwa wakiitik ia acha apite.

Matukio ni mengi sana lakini ajabu ya Mussa pana kaupepo kengine siku za hivi karibuni ka kuona mtu au watu kufa ni jambo la kawaida. Hakuna kujali wala kufuatilia. Eti kuwa hata zamani watu walikuwa wanakufa.

Walikuwa wanakufa hivi?

Dalili kamili za kumtumikia shetani.

Enyi mnaodunisha vifo vya wengine ni vyema mkajitathimni:

"you could be in possession of the devil. Faithful agents of the devil himself".

Badilikeni jamani mnatia kinyaa.

kuna kitu kimoja tena nilipo kiona ni waongo watu wamitandao ya jamii kila anayekufa kupakazia ni corona imeshamiri sana kwa jamaa mmoja kigogo na hawa wengine.hata mtu unaye mjua kaumwa na maradhi mengine alafu unakuja kusikia mtu hana sema mambo corona.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom