goshaiwedi
Member
- Feb 23, 2020
- 60
- 76
Wabunge watatu,wanasheria 8,maa dc 2,ma dk bingwa3,,,,haya tusubiri mwakaMkuu Kamundu , headline haiendani na main body, kwenye headline unazungumzia misiba mingi kuliko mwaka jana, hii ni issue ya data, subiri tufike mwisho wa mwaka, kisha tupate death toll ya mwaka jana compared na ya mwaka huu!.
Matangazo tuu ya vifo ndio mengi, ila jumla ni subiri mwisho wa mwaka, Wote wanaokufa kwa Corona walikuwa na issues zao za kiafya kabla, Corona ni kuwawahisha tuu.
Mzee Baba hajajificha, he is working from Ikulu ya Chato na kila siku tunamuona anapiga kazi kutokea pale unasema kajificha, kajificha vipi wakati pale ni kwake?!
P
Sent using Jamii Forums mobile app