Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,950
- 5,378
Kuomba na kujifukizaKwanini anakimbia vikao na maraisi wenzake?
Kazi gani hiyo anayoifanya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuomba na kujifukizaKwanini anakimbia vikao na maraisi wenzake?
Kazi gani hiyo anayoifanya?
Aisee,mixer logistics problems.No hakimbii vikao ni mambo madogo tuu ya lingua!.
P
Wewe ni jinga kabisaMkuu Kamundu , headline haiendani na main body, kwenye headline unazungumzia misiba mingi kuliko mwaka jana, hii ni issue ya data, subiri tufike mwisho wa mwaka, kisha tupate death toll ya mwaka jana compared na ya mwaka huu!.
Matangazo tuu ya vifo ndio mengi, ila jumla ni subiri mwisho wa mwaka, Wote wanaokufa kwa Corona walikuwa na issues zao za kiafya kabla, Corona ni kuwawahisha tuu.
Mzee Baba hajajificha, he is working from Ikulu ya Chato na kila siku tunamuona anapiga kazi kutokea pale unasema kajificha, kajificha vipi wakati pale ni kwake?!
P
Pole.Wewe ni jinga kabisa
Si nia ya uzi huu kuorodhesha visa vya tanzia tangia kuondokewa bila ya kutarajia na mama yetu mpendwa mama mchungaji. Ikumbukwe kuwa majina ambayo yamekuwa yakiripotiwa ikiwamo humu jamvini ni yale yenye kuhusisha majina makubwa makubwa tu.
Hapa ninaangazia matukio ya juzi peke yake kutokea katika maeneo ya vijijini kuonyesha hali iko je:
Juzi katika mazingira tata kama yanazolingana na sababu za tanzia zinazowekwa humu jamvini siku za hivi karibuni, mkuu wa kituo cha polisi Nyakanazi (Biharamulo) naye katangulia mbele za haki.
Mtu mdogo huyo vijijini huko. Kufariki kwake hakukuonekana mahali popote.
Juzi hiyo hiyo maeneo karibu na mizani ya Nyakahura (Biharamulo) amefariki mtu njiani akipelekwa hospitali akiwa na matatizo ya kupumua.
Juzi hiyo hiyo huko Kahama (Shinyanga) ofisa halmashauri wa wilaya alifariki ghafla kwa matatizo kama hayo hayo ya kupumua.
Nani anawajua wadogo hawa huko madongo kuinama kiasi cha kufanya iwe habari ya kuripotiwa popote? Hii ikizingatiwa pia kuwa, hata kwa hao wakubwa juhudi za kudunisha matukio yao zimekuwa kubwa kwa kiasi tunachokiona?
Hebu basi hata tuweke japo sababu za vifo pembeni. Hata kujiuliza tu, hivi hii kasi ya vifo ni sawa sawa pia hamna?
Tumekuwa kama tuliopigwa upofu. Tunetekwa na shetani. Tumekuwa mawakala kamili na waaminifu wa shetani. Hatuoni wala hatusikii hadi pale mmoja mmoja litakapomfika peke yake mlangoni?
Nakumbuka kale kawimbo:
"nyoka huyo, nyoka huyo" (kibwagizo)
"Mwache apite" (kiitikio)
"nyoka huyo, nyoka huyo" (kibwagizo)
"Mwache apite" (kiitikio)
Hadi wote wanaangamia na nyoka wakiwa wakiitik ia acha apite.
Matukio ni mengi sana lakini ajabu ya Mussa pana kaupepo kengine siku za hivi karibuni ka kuona mtu au watu kufa ni jambo la kawaida. Hakuna kujali wala kufuatilia. Eti kuwa hata zamani watu walikuwa wanakufa.
Walikuwa wanakufa hivi?
Dalili kamili za kumtumikia shetani.
Enyi mnaodunisha vifo vya wengine ni vyema mkajitathimni:
"you could be in possession of the devil. Faithful agents of the devil himself".
Badilikeni jamani mnatia kinyaa.
Bebe Nkoi, mihayo ke yeneyo?No hakimbii vikao ni mambo madogo tuu ya lingua!.
P
😃😃Of course, inawezekana vifo mwaka huu ni vingi sana, na siwezi kushangaa kwa sababu hata mahali kama Dar es salaam ambako kwa kawaida kuna msimu mmoja tu wa mvua lakini kwa sasa tangia mwaka jana mwezi wa 9 mvua zimeendelea kunyesha na hazijakata bado!
Matokeo yake, madimbwi ya maji yameongezeka na yanashindwa kukauka kutokana na mvua za mara kwa mara, hali inayopelekea kuongezeka kwa mazalia ya mbu and eventually kuongezeka kwa ugonjwa wa malaria!
Pamoja na kuongezeka kwa malaria, hizi mvua zinasababisha baridi za mara kwa mara na hali inayopelekea kuibuka kwa magonjwa ya vichomi na pumu!
Kuongezeka kwa malaria, vichomi, pumu ambayo husababisha changamoto ya upumuaji; yote hayo kwa pamoja bila shaka yana uwezo mkubwa wa kuongeza vifo!
Una lingine?!
Sio mwaka jana tu,tangu uhuru haijatokea hiiTusubiri...., unless unayo data za vifo vyote vya mwaka jana ndipo to compee!.
P