Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,950
- 5,378
Bado hujawa specific nini kifanyike mazee!Mkuu cha kwanza ni elimu kuwa hivi ni vita vya taifa siyo vita vya mtu mmoja mmoja.
Mzee baba kule anatuangusha sana.
Maamuzi pale juu kwa mzee baba ni lazima yabadilike kulinusuru taifa hili.
Busara za marais wastaafu zinaweza saidia kumfunga huyu paka kengele. Watu hawawezi kuendelea kufa wakati wenye akili zao wakiangalia misukule ikitamalaki.
Sent using Jamii Forums mobile app