Bado kuna wanaobisha misiba ni mingi kuliko mwaka jana

Kisha ugonjwa utaisha!!?!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Itasaidia kuonyesha ukubwa au udogo wa tatizo na hasa hata kwa misukule kuelewa.

Kumbuka taarifa hakuna ili kuendelea kuwaaminisha misukule kuwa tatizo halipo.

Huwezi kuamini misukule inaamini idadi ya maambukizi ni 480 no more, no less tokea Apr 29!
 
Mkuu Kamundu , headline haiendani na main body, kwenye headline unazungumzia misiba mingi kuliko mwaka jana, hii ni issue ya data, subiri tufike mwisho wa mwaka, kisha tupate death toll ya mwaka jana compared na ya mwaka huu!.

Matangazo tuu ya vifo ndio mengi, ila jumla ni subiri mwisho wa mwaka, Wote wanaokufa kwa Corona walikuwa na issues zao za kiafya kabla, Corona ni kuwawahisha tuu.

Mzee Baba hajajificha, he is working from Ikulu ya Chato na kila siku tunamuona anapiga kazi kutokea pale unasema kajificha, kajificha vipi wakati pale ni kwake?!

P
UNAWEZA KUTUPA KUTUPA SABABU WHY ASIWE MAGOGONI AU CHAMWINO!.. HATA CHIZI ANAJUA KUA AMEJIFICHA
 
Mkuu Kamundu , headline haiendani na main body, kwenye headline unazungumzia misiba mingi kuliko mwaka jana, hii ni issue ya data, subiri tufike mwisho wa mwaka, kisha tupate death toll ya mwaka jana compared na ya mwaka huu!.

Matangazo tuu ya vifo ndio mengi, ila jumla ni subiri mwisho wa mwaka, Wote wanaokufa kwa Corona walikuwa na issues zao za kiafya kabla, Corona ni kuwawahisha tuu.

Mzee Baba hajajificha, he is working from Ikulu ya Chato na kila siku tunamuona anapiga kazi kutokea pale unasema kajificha, kajificha vipi wakati pale ni kwake?!

P

Mkuu Mayalla, Upo sahihi ila pia inapaswa ifanyike tafiti kujua vifo hivi vingi hasa hasa kwa hawa wakubwa wakubwa wanaavyodondoka ni magonjwa ya kupumua pumua kama vichomi na nimonia na sio Covid-19.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hatuwezi kuja kufungua kesi za 'mauaji ya kimbari' kwa watu waliokuwa na dhamana ila wakazembea na kusababisha watu wengi kufariki?
 
Una uhakika na ulichoandika? Mkuu mbona wengine hatupendi kabisa kutaja majina ya watu?

Kuhusiana na Kahama, ulizia halmashauri ya wilaya kitengo cha Ardhi watakwambia. Ila ikibidi nitakupa majina hata yote pia yakiwamo wa Nyakahura na Nyakanazi.

Acheni kuwa merchants of death.

Kama nyie haiwaumi sisi inatuuma sana. Mnakuwa wenzetu kama mnaishi sayari nyingine. Watu wa namna gani nyie?
Hama nchi au leta dawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
P,

Umekuwa mwanasiasa siku hizi brother. Sijapinga kabisa mzee kufanyia kazi Chato hata mimi bafanyia kazi nyumbani. Hili ni janga na ni vizuri kujihami. Lakini tusiweke sifa kama vile mambo ni shwari. Nimepata message leo kutoka Ernest & Young kuna dada mmoja kafiwa na mume mkuu wa wilaya. Sio Tanzania tu kila mahali ni issue.
epuka kasumba sio kila kifo cha ugojwa ni corona weka mawazo huru magojwa yapo mengi sana kwa nn uchague corona pekeake bila uthibitisho? ukiona ivyo ujue teyari akili yako imezama kwenye kasumba inabidi utoke huko kufa kunasababu nyingi usikimbilie sababu moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Kamundu , headline haiendani na main body, kwenye headline unazungumzia misiba mingi kuliko mwaka jana, hii ni issue ya data, subiri tufike mwisho wa mwaka, kisha tupate death toll ya mwaka jana compared na ya mwaka huu!.

Matangazo tuu ya vifo ndio mengi, ila jumla ni subiri mwisho wa mwaka, Wote wanaokufa kwa Corona walikuwa na issues zao za kiafya kabla, Corona ni kuwawahisha tuu.

Mzee Baba hajajificha, he is working from Ikulu ya Chato na kila siku tunamuona anapiga kazi kutokea pale unasema kajificha, kajificha vipi wakati pale ni kwake?!

P
Heshima kwako Mkuu Pascal. Nikiri kuwa nakukubali sana kwa umahiri wako.

Lakini pia kwa umahiri wako huo huo kaka yangu Pascal, lazima kuweka maanani muktadha wa sasa.

We are in the midst of a pandemic the like of which the world has not experienced since 1919. The pandemic is among us in our villages, towns and cities, causing death and ruining the economy!

It is not the fault of anybody in Tanzania, and we should join forces to face it and combat it.

Why should we resort to denial whereas the reality is right here in front of us? [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si nia ya uzi huu kuorodhesha visa vya tanzia tangia kuondokewa bila ya kutarajia na mama yetu mpendwa mama mchungaji. Ikumbukwe kuwa majina ambayo yamekuwa yakiripotiwa ikiwamo humu jamvini ni yale yenye kuhusisha majina makubwa makubwa tu.

Hapa ninaangazia matukio ya juzi peke yake kutokea katika maeneo ya vijijini kuonyesha hali iko je:

Juzi katika mazingira tata kama yanazolingana na sababu za tanzia zinazowekwa humu jamvini siku za hivi karibuni, mkuu wa kituo cha polisi Nyakanazi (Biharamulo) naye katangulia mbele za haki.

Mtu mdogo huyo vijijini huko. Kufariki kwake hakukuonekana mahali popote.

Juzi hiyo hiyo maeneo karibu na mizani ya Nyakahura (Biharamulo) amefariki mtu njiani akipelekwa hospitali akiwa na matatizo ya kupumua.

Juzi hiyo hiyo huko Kahama (Shinyanga) ofisa halmashauri wa wilaya alifariki ghafla kwa matatizo kama hayo hayo ya kupumua.

Nani anawajua wadogo hawa huko madongo kuinama kiasi cha kufanya iwe habari ya kuripotiwa popote? Hii ikizingatiwa pia kuwa, hata kwa hao wakubwa juhudi za kudunisha matukio yao zimekuwa kubwa kwa kiasi tunachokiona?

Hebu basi hata tuweke japo sababu za vifo pembeni. Hata kujiuliza tu, hivi hii kasi ya vifo ni sawa sawa pia hamna?

Tumekuwa kama tuliopigwa upofu. Tunetekwa na shetani. Tumekuwa mawakala kamili na waaminifu wa shetani. Hatuoni wala hatusikii hadi pale mmoja mmoja litakapomfika peke yake mlangoni?

Nakumbuka kale kawimbo:

"nyoka huyo, nyoka huyo" (kibwagizo)
"Mwache apite" (kiitikio)

"nyoka huyo, nyoka huyo" (kibwagizo)
"Mwache apite" (kiitikio)

Hadi wote wanaangamia na nyoka wakiwa wakiitik ia acha apite.

Matukio ni mengi sana lakini ajabu ya Mussa pana kaupepo kengine siku za hivi karibuni ka kuona mtu au watu kufa ni jambo la kawaida. Hakuna kujali wala kufuatilia. Eti kuwa hata zamani watu walikuwa wanakufa.

Walikuwa wanakufa hivi?

Dalili kamili za kumtumikia shetani.

Enyi mnaodunisha vifo vya wengine ni vyema mkajitathimni:

"you could be in possession of the devil. Faithful agents of the devil himself".

Badilikeni jamani mnatia kinyaa.
lete data za miaka mitatu tujenge hoja kinyume na hapo inakuwa ni kasumba tuu mana inawezekana vip kusema kasi ni kubwa bila takwimu za ulinganifu? kuwa na matangazo mengi ya vifo hakuthibitishi uwingi wa vifo mana sio vifo vyote hutangazwa sasa lete takwimu za miaka mitatu alafu uoneshe vimezidi vifo vingapi na sababu gani mana kunawatu wamechelewa kujua kuwa watu wanakufa sana mahosptali huko na kwa magojwa na shida mbalimbali pia watu kwakua hawana takwimu za nyuma wanajenga kasumba ya kilakifo ni korona tuepuke kasumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishu sio kuchukulia kinachotokea kwa wepesi. suala ni kusema ukweli. wanaotutoka wanatoka kwa ugonjwa gani? hapa wenye mamlaka wameficha ukweli na kutulazimisha tuitikie kibwagizo cha matatizo ya kupumua. najua jf kuna madaktari na wataalamu wa afya. waje hapa watuambie huu ugonjwa wa "matatizo ya kupumua" umeanza lini? dalili zake ni zipi? sisi(watoto) tumelelewa hivyo kimizaha ndivyo tunakua hivyo kimizaha. mamlaka hazipo makini na wana wananchi hawapo makini pia! umakini umepungua kwa sababu tunafikiri tatizo la korona limekwisha kwa kuwa hakuna vifo vya korona ila ni matatizo ya upumuaji. labda mleta mada utuambie unafikiri hivi vifo vinatokana na nini?
acheni kasumba kwani tatizo la upumuaji ni corona tuu mbona mnaleta dhana potufu yapo magojwa mengi tuu na hatari zaidi yanayo shambulia mfumo wa upumuaji na yanauwa watu miaka yote kabla ya corona na hayatagwazwi kama corona namaisha yanaendelea tuu kifo ni kifo tu sasa ukitangaza vya corona pekee inamana vifo vya TB sio vifo halali hii ya kutangaza vifo vya ugojwa fulani pekee kwamba ndio special nikasumba mbaya sana vifo vyote ni sawa tuu na magojwa yote yanauwa tena yanashirikiana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi waliokufa kwa corona wanafika hata idadi ya waliolipukiwa na lori la mafuta pale moro mwaka jana? Je wanafika hata wale waliokufa maji kwenye ajari ya mv nyerere mwaka juzi? Kana sivyo iweje useme vifo vimeongezeka.

Ikitokea ukahifungia ndani kisha ukaamua kuitumia jf kama mwanahabari wako wa kukujurisha yaliyonje. Unawezadhani huko nje pametapakaa maiti tu kiasi kwamba hata pakukanyaga hamna. Yaani kama uko nje ya nchi na ukawa umaperuz jf unawezajua kuwa kule kwetu wameshaishako kumbe hujapoteza hata ndugu mumoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Kamundu , headline haiendani na main body, kwenye headline unazungumzia misiba mingi kuliko mwaka jana, hii ni issue ya data, subiri tufike mwisho wa mwaka, kisha tupate death toll ya mwaka jana compared na ya mwaka huu!.

Matangazo tuu ya vifo ndio mengi, ila jumla ni subiri mwisho wa mwaka, Wote wanaokufa kwa Corona walikuwa na issues zao za kiafya kabla, Corona ni kuwawahisha tuu.

Mzee Baba hajajificha, he is working from Ikulu ya Chato na kila siku tunamuona anapiga kazi kutokea pale unasema kajificha, kajificha vipi wakati pale ni kwake?!

P

yupo nyumbani wajamweni..kwani na mimi maisha yakinipiga hapa mjini nikarudi kijijini nitakuwa nimekimbia mji???????????
 
lete data za miaka mitatu tujenge hoja kinyume na hapo inakuwa ni kasumba tuu mana inawezekana vip kusema kasi ni kubwa bila takwimu za ulinganifu? kuwa na matangazo mengi ya vifo hakuthibitishi uwingi wa vifo mana sio vifo vyote hutangazwa sasa lete takwimu za miaka mitatu alafu uoneshe vimezidi vifo vingapi na sababu gani mana kunawatu wamechelewa kujua kuwa watu wanakufa sana mahosptali huko na kwa magojwa na shida mbalimbali pia watu kwakua hawana takwimu za nyuma wanajenga kasumba ya kilakifo ni korona tuepuke kasumba

Sent using Jamii Forums mobile app

Usisahau ulichoandika hapo siku gonjwa hili likipita karibu nawe.

Wanasema "he who laughs best laughs last".

Nikutie shime. Komaa mwanamme!
 
Hivi waliokufa kwa corona wanafika hata idadi ya waliolipukiwa na lori la mafuta pale moro mwaka jana? Je wanafika hata wale waliokufa maji kwenye ajari ya mv nyerere mwaka juzi? Kana sivyo iweje useme vifo vimeongezeka.

Ikitokea ukahifungia ndani kisha ukaamua kuitumia jf kama mwanahabari wako wa kukujurisha yaliyonje. Unawezadhani huko nje pametapakaa maiti tu kiasi kwamba hata pakukanyaga hamna. Yaani kama uko nje ya nchi na ukawa umaperuz jf unawezajua kuwa kule kwetu wameshaishako kumbe hujapoteza hata ndugu mumoja

Sent using Jamii Forums mobile app

Haka kaupepo kakipita karibu na wewe uvae tu ujasiri. Ila usisahau bandiko lako hili.

Upepo ukikubadilikia usiache kuleta mrejesho japo kwa watakao kuwapo.
 
acheni kasumba kwani tatizo la upumuaji ni corona tuu mbona mnaleta dhana potufu yapo magojwa mengi tuu na hatari zaidi yanayo shambulia mfumo wa upumuaji na yanauwa watu miaka yote kabla ya corona na hayatagwazwi kama corona namaisha yanaendelea tuu kifo ni kifo tu sasa ukitangaza vya corona pekee inamana vifo vya TB sio vifo halali hii ya kutangaza vifo vya ugojwa fulani pekee kwamba ndio special nikasumba mbaya sana vifo vyote ni sawa tuu na magojwa yote yanauwa tena yanashirikiana

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu utakuwa msukule kudhani vifo vya Corona vipo.

Chapa kazi mwaname hata vile 16 kipimo cha mbuzi kilikosea.
 
Mkuu Kamundu , headline haiendani na main body, kwenye headline unazungumzia misiba mingi kuliko mwaka jana, hii ni issue ya data, subiri tufike mwisho wa mwaka, kisha tupate death toll ya mwaka jana compared na ya mwaka huu!.

Matangazo tuu ya vifo ndio mengi, ila jumla ni subiri mwisho wa mwaka, Wote wanaokufa kwa Corona walikuwa na issues zao za kiafya kabla, Corona ni kuwawahisha tuu.

Mzee Baba hajajificha, he is working from Ikulu ya Chato na kila siku tunamuona anapiga kazi kutokea pale unasema kajificha, kajificha vipi wakati pale ni kwake?!

P
Bado pia katika mambo ya tafiti unaweza kabisa kulinganisha "mambo" katika kipindi kinachofanana kwa miaka kadhaa. Mfano, ni sawa kabisa kulinganisha misiba kwa mwezi uleule katika vipindi vya miaka tofauti. Hivyo unaweza kabisa kusema misiba ni mingi kuliko mwaka jana kwa kutazama tu takwimu za January-May kwa miaka hiyo miwili. Tafiti za namna hii ziko nyingi sana, hasa zenye mrengo wa kuonesha athari ya jambo lililotokea na katika kipindi cha ndani ya mwaka. Labda tu tuulize chanzo cha data za mtoa mada
 
Hiyo Data ya death toll unaipata wapi?
Mkuu Kamundu , headline haiendani na main body, kwenye headline unazungumzia misiba mingi kuliko mwaka jana, hii ni issue ya data, subiri tufike mwisho wa mwaka, kisha tupate death toll ya mwaka jana compared na ya mwaka huu!.

Matangazo tuu ya vifo ndio mengi, ila jumla ni subiri mwisho wa mwaka, Wote wanaokufa kwa Corona walikuwa na issues zao za kiafya kabla, Corona ni kuwawahisha tuu.

Mzee Baba hajajificha, he is working from Ikulu ya Chato na kila siku tunamuona anapiga kazi kutokea pale unasema kajificha, kajificha vipi wakati pale ni kwake?!

P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Corona haiui kwenye kitu kimoja wakati mwingine inachochoe ugojwa mwingine na nampongeza sana Magu kwa kujificha kijijini kwa zaidi ya mwezi.

Kila siku tutasikia misiba lakini kibaya wale wengi ambao si wanasiasa hatuwasikiia.Tuombe Mungu dawa ipatikane maana hali ni mbaya.

Pamoja na ukweli kwamba ni ngumu kufunga la kuomba ni dawa kupatikana.
Ushabiki wa kijinga na uzushi hauto kufikisha popote

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Back
Top Bottom