Mkuu Kamundu , headline haiendani na main body, kwenye headline unazungumzia misiba mingi kuliko mwaka jana, hii ni issue ya data, subiri tufike mwisho wa mwaka, kisha tupate death toll ya mwaka jana compared na ya mwaka huu!.Hii Corona haiui kwenye kitu kimoja wakati mwingine inachochoe ugojwa mwingine na nampongeza sana Magu kwa kujificha kijijini kwa zaidi ya mwezi.
Kila siku tutasikia misiba lakini kibaya wale wengi ambao si wanasiasa hatuwasikii. Tuombe Mungu dawa
Mkuu Kamundu , headline haiendani na main body, kwenye headline unazungumzia misiba mingi kuliko mwaka jana, hii ni issue ya data, subiri tufike mwisho wa mwaka, kisha tupate death toll ya mwaka jana compared na ya mwaka huu!.
Matangazo tuu ya vifo ndio mengi, ila jumla ni subiri mwisho wa mwaka, Wote wanaokufa kwa Corona walikuwa na issues zao za kiafya kabla, Corona ni kuwawahisha tuu.
Mzee Baba hajajificha, he is working from Ikulu ya Chato na kila siku tunamuona anapiga kazi kutokea pale unasema kajificha, kajificha vipi wakati pale ni kwake?!
P
Inabidi viongozi wetu wajifunze kuhesabu zaidi ya 16. Tuna kazi uchaguzi ujao.Si nia ya uzi huu kuorodhesha visa vya tanzia tangia kuondokewa bila ya kutarajia na mama yetu mpendwa mama mchungaji. Ikumbukwe kuwa majina ambayo yamekuwa yakiripotiwa ikiwamo humu jamvini ni yale yenye kuhusisha majina makubwa makubwa tu.
Hapa ninaangazia matukio ya juzi peke yake kutokea katika maeneo ya vijijini kuonyesha hali iko je:
Juzi katika mazingira tata kama yanazolingana na sababu za tanzia zinazowekwa humu jamvini siku za hivi karibuni, mkuu wa kituo cha polisi Nyakanazi (Biharamulo) naye katangulia mbele za haki.
Mtu mdogo huyo vijijini huko. Kufariki kwake hakukuonekana mahali popote.
Juzi hiyo hiyo maeneo karibu na mizani ya Nyakahura (Biharamulo) amefariki mtu njiani akipelekwa hospitali akiwa na matatizo ya kupumua.
Juzi hiyo hiyo huko Kahama (Shinyanga) ofisa halmashauri wa wilaya alifariki ghafla kwa matatizo kama hayo hayo ya kupumua.
Nani anawajua wadogo hawa huko madongo kuinama kiasi cha kufanya iwe habari ya kuripotiwa popote? Hii ikizingatiwa pia kuwa, hata kwa hao wakubwa juhudi za kudunisha matukio yao zimekuwa kubwa kwa kiasi tunachokiona?
Hebu basi hata tuweke japo sababu za vifo pembeni. Hata kujiuliza tu, hivi hii kasi ya vifo ni sawa sawa pia hamna?
Tumekuwa kama tuliopigwa upofu. Tunetekwa na shetani. Tumekuwa mawakala kamili na waaminifu wa shetani. Hatuoni wala hatusikii hadi pale mmoja mmoja litakapomfika peke yake mlangoni?
Nakumbuka kale kawimbo:
"nyoka huyo, nyoka huyo" (kibwagizo)
"Mwache apite" (kiitikio)
"nyoka huyo, nyoka huyo" (kibwagizo)
"Mwache apite" (kiitikio)
Hadi wote wanaangamia na nyoka wakiwa wakiitik ia acha apite.
Matukio ni mengi sana lakini ajabu ya Mussa pana kaupepo kengine siku za hivi karibuni ka kuona mtu au watu kufa ni jambo la kawaida. Hakuna kujali wala kufuatilia. Eti kuwa hata zamani watu walikuwa wanakufa.
Walikuwa wanakufa hivi?
Dalili kamili za kumtumikia shetani.
Enyi mnaodunisha vifo vya wengine ni vyema mkajitathimni:
"you could be in possession of the devil. Faithful agents of the devil himself".
Badilikeni jamani mnatia kinyaa.
Korona19 is real mkuu,tuchukue tahadhari kama wataalamu wa WHO walivyoshauri kamwe tusiwasikilize wanasiasa na tantalila zao.Si nia ya uzi huu kuorodhesha visa vya tanzia tangia kuondokewa bila ya kutarajia na mama yetu mpendwa mama mchungaji. Ikumbukwe kuwa majina ambayo yamekuwa yakiripotiwa ikiwamo humu jamvini ni yale yenye kuhusisha majina makubwa makubwa tu.
Hapa ninaangazia matukio ya juzi peke yake kutokea katika maeneo ya vijijini kuonyesha hali iko je:
Juzi katika mazingira tata kama yanazolingana na sababu za tanzia zinazowekwa humu jamvini siku za hivi karibuni, mkuu wa kituo cha polisi Nyakanazi (Biharamulo) naye katangulia mbele za haki.
Mtu mdogo huyo vijijini huko. Kufariki kwake hakukuonekana mahali popote.
Juzi hiyo hiyo maeneo karibu na mizani ya Nyakahura (Biharamulo) amefariki mtu njiani akipelekwa hospitali akiwa na matatizo ya kupumua.
Juzi hiyo hiyo huko Kahama (Shinyanga) ofisa halmashauri wa wilaya alifariki ghafla kwa matatizo kama hayo hayo ya kupumua.
Nani anawajua wadogo hawa huko madongo kuinama kiasi cha kufanya iwe habari ya kuripotiwa popote? Hii ikizingatiwa pia kuwa, hata kwa hao wakubwa juhudi za kudunisha matukio yao zimekuwa kubwa kwa kiasi tunachokiona?
Hebu basi hata tuweke japo sababu za vifo pembeni. Hata kujiuliza tu, hivi hii kasi ya vifo ni sawa sawa pia hamna?
Tumekuwa kama tuliopigwa upofu. Tunetekwa na shetani. Tumekuwa mawakala kamili na waaminifu wa shetani. Hatuoni wala hatusikii hadi pale mmoja mmoja litakapomfika peke yake mlangoni?
Nakumbuka kale kawimbo:
"nyoka huyo, nyoka huyo" (kibwagizo)
"Mwache apite" (kiitikio)
"nyoka huyo, nyoka huyo" (kibwagizo)
"Mwache apite" (kiitikio)
Hadi wote wanaangamia na nyoka wakiwa wakiitik ia acha apite.
Matukio ni mengi sana lakini ajabu ya Mussa pana kaupepo kengine siku za hivi karibuni ka kuona mtu au watu kufa ni jambo la kawaida. Hakuna kujali wala kufuatilia. Eti kuwa hata zamani watu walikuwa wanakufa.
Walikuwa wanakufa hivi?
Dalili kamili za kumtumikia shetani.
Enyi mnaodunisha vifo vya wengine ni vyema mkajitathimni:
"you could be in possession of the devil. Faithful agents of the devil himself".
Badilikeni jamani mnatia kinyaa.
uyo wa kahama sio kweli mkuu
Korona19 is real mkuu,tuchukue tahadhari kama wataalamu wa WHO walivyoshauri kamwe tusiwasikilize wanasiasa na tantalila zao.
Si nia ya uzi huu kuorodhesha visa vya tanzia tangia kuondokewa bila ya kutarajia na mama yetu mpendwa mama mchungaji. Ikumbukwe kuwa majina ambayo yamekuwa yakiripotiwa ikiwamo humu jamvini ni yale yenye kuhusisha majina makubwa makubwa tu.