Bado kuna wanaobisha misiba ni mingi kuliko mwaka jana

Wewe ni jinga kabisa
 

unachotaka ni nini haswa?
 
Mungu anasadia rafiki wa karibu mwingine anaendelea vizuri na Baba mdogo yeye hata hajulikani anakaa ushwahilini hata hajasema lakini naye anaendelea vizuri baada ya kupambana kwa wiki mbili. Bahati mbaya kamuambukiza na mke wake naye anaendelea vizuri. Inaekea sasa hata wagojwa wamekuwa kama wa malaria hawaingizwi hata kwenye takwimu
 
😃😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…