Bado kuna watu wanamlaumu Vanny boy Kwa Paula? Penzi la Kajala na Konde boy lipo Hoi

Hii ya kuwafungulia AKAUNTI za Instagram watoto wadogo na kuanza kuwapost mbaya sana.

Hata kama ni uzungu huu umepitiliza.

Majani angechukua tu Bint ake.
 
Na hii si vumilia ni ukweli asilimia 90 wakina chumali kwa kupenda chini wanaongoza hawajuagi uchafu
heheheee,ningemshangaa konde kumuacha mtoto mbichi paula wa kula kwa chumvi masala kabisa, na kumfakamia mama mtu jafafa halifai kuliwa hata kwa mbilimbi!!
 
Mmakonde katafuna kuku na mayai bila shaka maana kale katoto kapaula ni kamalaya mama yake akasome
 
Hii ya kuwafungulia AKAUNTI za Instagram watoto wadogo na kuanza kuwapost mbaya sana.

Hata kama ni uzungu huu umepitiliza.

Majani angechukua tu Bint ake.
Amchukue amuweke wapi ataharibu wanae wengine!
 
Hii ya kuwafungulia AKAUNTI za Instagram watoto wadogo na kuanza kuwapost mbaya sana.

Hata kama ni uzungu huu umepitiliza.

Majani angechukua tu Bint ake.
Alisema sasa hivi hali yake sio nzuri, hata na yeye analelewa
 
Za chini chini Konde boy kahonga Kwa Paula mpak gari , kampeleka shopping mtoto mzuri , cha ajabu Mtoto akavujisha Siri Kwa mama + screen short ya charting aisee nimeziona Konde boy anajua kulalamika nyie , mtotomzuri kampa mkanda wote Vannboy mtu mbaya .....🤣🤣🤣🤣🤣
 
Vanboy mtu mbadi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…