Bado kuna watu wanamlaumu Vanny boy Kwa Paula? Penzi la Kajala na Konde boy lipo Hoi

Kwani huko Scandinavia hawatamla

Huko wazungu watafukua Hadi tope na ngada watanfundisha kuvuta
 
Ninachoona hapa propaganda za kimalaya Malaya tuu
Hako ka Paula kamejaa umalaya
 
Konde boy ana gundu Sana huyu mwamba πŸ€£πŸ˜€
 
Sasa mwenizo kala mzigo unasema ana gundu?

Sijui alikukoseaga nini Huyo konde
Kula mzigo Kwa Kajala hata wewe unapiga Tu pale , alitaka Kula mtoto Paula mambo yakaharibika kwan hatujui , ndo anajitapa kumla Paula kumbe holaa mtoto kavujisha Siri Kwa mama , kalipia mishopping kibao .... Alaf kisa cha kumuonea gere Rayvanny ni nin sasa ? Kama sio umama huo ,Rayvanny kila sku anampiga kata funua Paula .....
 
Hii ni komedi level ya ngapi?
 
Haya umeshinda ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…