Bado kuna watu wanamlaumu Vanny boy Kwa Paula? Penzi la Kajala na Konde boy lipo Hoi

Ishu ya Kajala na mwanae ni funzo sisi kwetu wanaume. Tupotaka kuzaa na wanawake tuwe makini na maadili ya huyo mwanamke, maana ndy kama hivyo unazaa na mtu mdangaji mwisho wa siku na watoto na wanakua wadangaji utabaki na aibu.

Kajala hayuko makini kabisa na maadili ya mtoto wake, na kuna siku huyo mtoto atakuja kumlaumu huyo mama kuwa kwa nini alimuacha akaingia kwenye tabia zisizofaa.

NB; Hata kama mimi ni mwizi siwezi nikaruhusu mtoto wangu nae awe mwizi. "Kwetu wanaume tujitahidi kuzaa na watu wenye maadili".
 
Kweli mwamba kala?
Sjui Kala au hajala 🀣🀣 issue iliyopo Paula kavujisha mistari ya mwamba Kwa mama ake , sasa haijulikani kama kavujisha tayar akiwa ameinamishwa au kavujisha akiwa amemmkazia mwamba ili kusitiri heshima ya mama πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Yaani raia hamna screenshots ya kitu muhimu kama hiki?
 
Mkuu hivi ndo huyu PAULA Wa jf au kuna mwingine?
 
Ila account yake ya insta ni therealpaulahkajala

Sio hiyo
 
Ishu ya Kajala na mwanae ni funzo sisi kwetu wanaume. Tupotaka kuzaa na wanawake tuwe makini na maadili ya huyo mwanamke, maana ndy kama hivyo unazaa na mtu mdangaji mwisho wa siku na watoto na wanakua wadangaji utabaki na aibu.

Kajala hayuko makini kabisa na maadili ya mtoto wake, na kuna siku huyo mtoto atakuja kumlaumu huyo mama kuwa kwa nini alimuacha akaingia kwenye tabia zisizofaa.

NB; Hata kama mimi ni mwizi siwezi nikaruhusu mtoto wangu nae awe mwizi. "Kwetu wanaume tujitahidi kuzaa na watu wenye maadili".
Mkuu hivi ndo huyu PAULA Wa jf au kuna mwingine?
Bado sijafahamu mkuu..
 
Ila account yake ya insta ni therealpaulahkajala

Sio hiyo
Yule binti ana accnt nyingi nyingi Tu na anazifanyia biashara ya kupost matangazo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan khaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…