Bado kwako elimu ni bora kuliko pesa ?

Zero Competition

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2018
Posts
347
Reaction score
553
Kwa hali ya maisha jinsi tunavyoiona ambapo kila kitu kwasasa bei juu je bado unaamini kwamba elimu ni bora kuliko pesa au ushabadiri mawazo yako ?
 
Binafs,
Elimu ya akhera, haijanipa hata mia mbovu.
Elimu ya Darasani imenisaidia kupata pesa,
Ila Elimu ya mtaani imenisaidia kupata pesa Zaid.

Ila Sasa hapo mtoa mada sijua unaizungumzia Elimu ipi labda? Be specific.
 
Usilaumu akhera wkt bado hujafika, ngoja ufike utajua elimu yake itakulupa ama la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…