Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 347
- 553
Kwa hali ya maisha jinsi tunavyoiona ambapo kila kitu kwasasa bei juu je bado unaamini kwamba elimu ni bora kuliko pesa au ushabadiri mawazo yako ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usilaumu akhera wkt bado hujafika, ngoja ufike utajua elimu yake itakulupa ama la.Binafs,
Elimu ya akhera, haijanipa hata mia mbovu.
Elimu ya Darasani imenisaidia kupata pesa,
Ila Elimu ya mtaani imenisaidia kupata pesa Zaid.
Ila Sasa hapo mtoa mada sijua unaizungumzia Elimu ipi labda? Be specific.
Mtoa mada kazungumzia kwa muktadha wa hapa duniani.Usilaumu akhera wkt bado hujafika, ngoja ufike utajua elimu yake itakulupa ama la.