Bado Mo Dewji ndiye tajiri namba moja nchini?

Bado Mo Dewji ndiye tajiri namba moja nchini?

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Kwa Mambo makubwa makubwa anayoyafanya Mzee Bakhressa kwenye soka letu naamini ni kichekesho cha Mwaka kuamini Mo Dewji ndie tajiri namba moja nchini.

Kimsingi orodha ya Matajiri nchini inapaswa kuwa hivi...

1. Said Salim Bakhressa

2. Said Salim Bakhressa

3. Said Salim Bakhressa

4. Said Salim Bakhressa

5. Kanjibahi wa Singida Mzee wa Mbumbumbu FC , Mzee wa Bilion 21
 
Kwahiyo umeona utajiri wa bakhresa baada ya kuwapa hela,mkuu ulivyosifia inaonekana upo tayari hata kutoa jicho
Ulitaka tusisifie mkuu. Ninyi endeleeni kupigwa na Kanji
 
Kwa Mambo makubwa makubwa anayoyafanya Mzee Bakhressa kwenye soka letu naamini ni kichekesho cha Mwaka kuamini Mo Dewji ndie tajiri namba moja nchin...
Unahasira sana ewe kitombile fc! Yaan kwa backresa huoni! Husikii! Huambiliki! Dah tumekubali binti yetu olewa tu nahuyo kijana chaguo la moyo wako!

Maana katika watu wanne muhimu maishani mwako hata sisi wazaziwako hatupo, ila tu huyo kijana wa bakresa ndoametamalaki! OLEWA MAMA OLEWA.
 
Kwa Mambo makubwa makubwa anayoyafanya Mzee Bakhressa kwenye soka letu naamini ni kichekesho cha Mwaka kuamini Mo Dewji ndie tajiri namba moja nchini.

Kimsingi orodha ya Matajiri nchini inapaswa kuwa hivi...

1. Said Salim Bakhressa

2. Said Salim Bakhressa

3. Said Salim Bakhressa

4. Said Salim Bakhressa

5. Kanjibahi wa Singida Mzee wa Mbumbumbu FC , Mzee wa Bilion 21

Utajiri wa MO ni level za kina kusaga ,hana utajiri wa kuweza kumfikia SSB , SSB ni level nyingine! Fumba Uptown Living......Mo ni tapeli tu ,kadhulumu mashamba ya katani ya serikali ,pia kanunua simba kwa 20b hewa(mali kauli).
 
Back
Top Bottom