Kavirondo
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 751
- 1,605
Forbes ni moja kati ya majarida mengi/taasisi za Mambo ya Fedha zinazotoa takwimu za Ukwasi wa watu kulingana na vigezo walivyoainisha.Si kila tajiri hutoa ushirikiano kwao katika kutambua ukwasi walionao.Eti Forbes!? Hawa forbes wapuuzi tu... Haiingii akilini eti yule jamaa wa Abu Dhabi, Sheikh Mansour hata top 500 hayupo.!!!
Nachowapendea watu wa Asia hawana ulimbukeni wa forbes km waafrika... Muddy ni mwafrika aliyechangamka na muasia mshamba, amesoma biashara hukohuko yaliko makao ya forbes kwahiyo lazima atakuwa alitengeneza ka koneksheni fulani, na atakuwa alipeleka na marisiti km Kanye
Bakhresa ni next level huyu mzee
Hivyo orodha wanayotoa si lazima iwe sahihi kwa asilimia mia.
ukifuatilia sana utagundua orodha ya majina wanayotoa eitha vyanzo vya utajiri wao ni biashara zilizo kwenye masoko ya hisa,hivyo kuwa rahisi kupata taarifa za mahesabu,au taarifa kutoka kwa wahusika wenyewe..
Ushingae kutawaona baadhi ya matajirikatika list zao.
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app