Bado Mo Dewji ndiye tajiri namba moja nchini?

Bado Mo Dewji ndiye tajiri namba moja nchini?

Kwani viwanja vya Mo viko located wapi?
 
Kwa Mambo makubwa makubwa anayoyafanya Mzee Bakhressa kwenye soka letu naamini ni kichekesho cha Mwaka kuamini Mo Dewji ndie tajiri namba moja nchini.

Kimsingi orodha ya Matajiri nchini inapaswa kuwa hivi...

1. Said Salim Bakhressa

2. Said Salim Bakhressa

3. Said Salim Bakhressa

4. Said Salim Bakhressa

5. Kanjibahi wa Singida Mzee wa Mbumbumbu FC , Mzee wa Bilion 21
Sasa huu ni "uSADALA"
 
Utajiri wa MO ni level za kina kusaga ,hana utajiri wa kuweza kumfikia SSB , SSB ni level nyingine! Fumba Uptown Living......Mo ni tapeli tu ,kadhulumu mashamba ya katani ya serikali ,pia kanunua simba kwa 20b hewa(mali kauli).
Heri ulete thread ya utajiri wa MO vs Bakhresa ,tuangalie facts and details,maana unamchukulia Mo poa
 
Hiyo nafasi imechukuliwa na Jacqueline Ntubuyaliwe tangu apewe urithi...
Kwa Mambo makubwa makubwa anayoyafanya Mzee Bakhressa kwenye soka letu naamini ni kichekesho cha Mwaka kuamini Mo Dewji ndie tajiri namba moja nchini.

Kimsingi orodha ya Matajiri nchini inapaswa kuwa hivi...

1. Said Salim Bakhressa

2. Said Salim Bakhressa

3. Said Salim Bakhressa

4. Said Salim Bakhressa

5. Kanjibahi wa Singida Mzee wa Mbumbumbu FC , Mzee wa Bilion 21
 
Mo sio na wala hajawahi kuwa tajiri kumshinda bakhresa aka 1000..
 
Japo mimi siyo shabiki kwenye mipira ila najua kuna tofauti kubwa sana kati ya MWEKEZAJI na MDHAMINI hebu liangalieni hilo kabla ya kupeana mipasho... tukirudi kwenye Mohammed na Bakhresa hata mimi huwa sielewagi kabisa wale watoa takwimu za matajiri
 
Heri ulete thread ya utajiri wa MO vs Bakhresa ,tuangalie facts and details,maana unamchukulia Mo poa

MO hakuna kitu ukimcopare na SSB , Mo akashindane na Kina Kusaga ,Kina Papa Musofe , Ndama mutoto ya ng'ombe maana wana "kaliba" moja ya ujanja ujanja na utapeli.
 
Kwa Mambo makubwa makubwa anayoyafanya Mzee Bakhressa kwenye soka letu naamini ni kichekesho cha Mwaka kuamini Mo Dewji ndie tajiri namba moja nchini.

Kimsingi orodha ya Matajiri nchini inapaswa kuwa hivi...

1. Said Salim Bakhressa

2. Said Salim Bakhressa

3. Said Salim Bakhressa

4. Said Salim Bakhressa

5. Kanjibahi wa Singida Mzee wa Mbumbumbu FC , Mzee wa Bilion 21
Jee unavijua vigezo vilivyotumika kum rate Mo kuwa ndiye tajiri namba moja Tanzania?
 
Eti Forbes!? Hawa forbes wapuuzi tu... Haiingii akilini eti yule jamaa wa Abu Dhabi, Sheikh Mansour hata top 500 hayupo.!!!
Nachowapendea watu wa Asia hawana ulimbukeni wa forbes km waafrika... Muddy ni mwafrika aliyechangamka na muasia mshamba, amesoma biashara hukohuko yaliko makao ya forbes kwahiyo lazima atakuwa alitengeneza ka koneksheni fulani, na atakuwa alipeleka na marisiti km Kanye
Bakhresa ni next level huyu mzee
 
MO utajiri wake anauweka wazi kila mtu ajue. Baharesa mambo yake anayafanya kimya kimya.
 
Back
Top Bottom