Bado Mo Dewji ndiye tajiri namba moja nchini?

Forbes ni moja kati ya majarida mengi/taasisi za Mambo ya Fedha zinazotoa takwimu za Ukwasi wa watu kulingana na vigezo walivyoainisha.Si kila tajiri hutoa ushirikiano kwao katika kutambua ukwasi walionao.
Hivyo orodha wanayotoa si lazima iwe sahihi kwa asilimia mia.
ukifuatilia sana utagundua orodha ya majina wanayotoa eitha vyanzo vya utajiri wao ni biashara zilizo kwenye masoko ya hisa,hivyo kuwa rahisi kupata taarifa za mahesabu,au taarifa kutoka kwa wahusika wenyewe..
Ushingae kutawaona baadhi ya matajirikatika list zao.

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…