Bado mpaka sasa hakuna biashara iliyopewa jina la mfereji wa Hormuz?

Bado mpaka sasa hakuna biashara iliyopewa jina la mfereji wa Hormuz?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Wabongo wanapenda sana kuzipa biashara zao majina ya vitu maarufu, tutegemee siku za hivi karibuni kuona Hormuz Cafe, Hormuz Barbershop, Hormuz general store, Mgahawa wa Hormuz, Hormuz Bar n.k

Nigeria tayari wameshatembea na upepo
20260327_083613.jpg
 
View attachment 3563204
Wewe ndo huijui mkuu.. Pona huku kwetu mifereji ya Hormuz inauzwa kitambo saana mkuu. Tena bei rafiki kabisaaaa
 
Sio kitu iliyo trend sana ni kawaida tu hata vita yenyewe ni almost kama havipo tu...kweli UWEZO wa irani sio wa ku underestimate halafu ndo uzuri wa nchi kuwa na population kubwa...
 
Kuna beki wa Yanga au Simba tutegemee ataitwa mfereji wa Hormuz
 
Kuweni makini kutumia Hilo jina nchi yetu imejaa watu wa hivyo wakiona neno mfereji tu wanawaza ujinga tayari.
Labda utumie Hilo jina kwenye Bar, Lounge
 
Back
Top Bottom