Bado nahitaji majibu kuhusu Ulinzi Shirikishi, Wanasheria nawaomba tafadhali

wala sikupingi mkuu ila hii nchi bado kuna mijitu kwao haioni kama inapigwa

na haiumii wala kuuliza inachukulia kawaida,nikiona mijitu ya namna hii kwenye comment

huwa naskia kuuma meno kwa hasira maana hii mijitu ipo mingi kuliko watu wanaojitambua.
 
Huna unalojua wewe , anazungumzia 1000??? Unajua Mo Dewji hutoa shilingi ngapi kwenye Mo Dewji Foundation???


Unajua Jack Dorsey mmiliki wa twitter mwaka huu mwezi wa tatu alitoa Dola Bilion moja kusaidia watu ( Ndio binadamu alieweka rekod kutoa kiasi kikubwa kwa mkupuo kusaidia watu)...


Mo Dewji kila siku anasaidia watu ninaweza kukuwekea ushahidi wa ninachosema. Ni wiki iliyopita tu ametoka kusaidia vijana kila mmoja milion 1. Wewe unakuja kuzungumzia 1000?? , Hauko na akili wewe.


Huyo Bakhresa kila siku anasaidia Kama unabisha nenda pale msikitini kwake kariakoo uje na ushuhuda hapa. Yaani Bakhresa ashindwe kukupa 1000? Una akili wewe kweli.

Usitake nikuwekee misaada anayotoa Aliko Dangote huko Nigeria na Africa. Unakuja kupigishwa kelele na shilingi 1000 ambayo hata haifikii thamani ya dola 1 , wewe ni kapuku tu Kama sisi.


 
Mkuu unachokiandka ndiyo ukweli halisi lkn ugumu unakuja wapi unajua?

mijitu inayochukulia kutoa 3000-5000 kwa ulinzi shirikishi n kawaida hawa wapo

wengi sana yani jamiii tuliyopo saivi mpk tufike tunapotakiwa kufika Kazi kubwa ifanyike.
 
Tofautisha kusaidia na ninachokiongelea? hatuongelei misaada we kandambili

kama ni misaaada nadhani hunijui hata punje naitoa kwa watu husika na sio ulinzi

shirikishi,wale hawaji kuomba msaada,ulinzi shirikishi sio waomba msaada we kokoo

zunguka humu humu JF pekerenyua utakuta hela nilizotoa kwa msaada kwa wahitaji

namalizia kwa kukwambia kwamba hii ni reply yangu ya mwisho kwako PiliPili hoho wewe.
 
Short minded stupid like you don't know know the value of arguments.


Unatoa 1000 ili upate security service. Wapuuzi sampuli yako ni mmejazana mtaani na huwa mkiibiwa tunawachora tu.


Unashindwa kutoa elfu 1 kwa mwezi ambayo kwa mwaka ni 12,000 ili upate huduma ya ulinzi ila unaweza kunywa Bia za 50,000 kwa siku. Sasa hapo kichaa ni nani.
Au unatoa mchango wa harusi unaenda kula wali maharage na kuchangia wanandoa hela ya kuanzia maisha ila huwezi kutoa hela ulindwe. Mjinga kweli wewe kichwa Kama embe bolibo bichi


Ndio maana nasema wewe ni kapuku tu kama makapuku wengine. Njaa imekujaa matakoni
 
Daaaah!! Inasikitishana saana kama hadi Mambo ya kijamii hauyajui!!

Jukumu la ulinzi linaanzia kwa raia mwenyewe na ipo kwenye katiba ya nchi ya Tanzania!! Jukumu la ulinzi linaanzia kwako, hao polisi Ni chombo tu cha ulinzi utakachotumia katika kufanikisha zoezi Hilo la ulinzi wako mwenyewe na mali zako.


Kama ungekuwa unahudhuria mikutano ya wananchi, usingeuliza hapa! Kiasi Cha kuchangia ulinzi hupangwa na wananchi kupitia mkutano mkuu wa Mtaa au Kijiji.

Dhana ya ulinzi shirikishi haujaanza leo, na hiyo Ni kutokana na uhaba wa polisi. Tangu zamani vijijin ulinzi huo upo maarufu kama sungusungu ambapo mjini Ni ulinzi shirikishi.

Vijana wa ulinzi shirikishi huchaguliwa na wananchi na wanapewa mafunzo na Jeshi la polisi ili kuweza kusaidia kupambana na wimbi la uharifu mitaaani. Toa mchango wako kwa ulinzi shirikishi na kama huwezi ungana nao ulinde nao!!
 
Huyo kijana hajielew Ni kumpuuza tu
 
Cha ajabu zaidi hao hao ulinzi shirikishi ndio vibaka wenyewe , wakikukuta usiku umelewa au umetembea na mali lazima wakupore.
 
Hizo sheria ndogo si zinatambulika kisheria.

Yawezekana wakazi wa eneo husika waliketi wakakubaliana hivyo ila kwa kuwa unarudi home usiku wa "manani" huna taarifa.
 
Subiri uibiwe ndo utaona ukubwa au udogo wa 3000!!
Hakuna kitu hapo, labda kama hujui kuhusu ulinzi shirikishi. Hao ni kulinda tu ila kuibiwa iko palepale na hulipwi au kusaidiwa.

Mfano niliwahi kuwa na ofisi magomeni na kukawepo na hao jamaa zako pamoja na kampuni ya ulinzi, ilitokea mwenzetu kuibiwa dukani kwake, mgogoro ulianzia hapo na mpaka mradi wa kulinda ukaishia hapo.

Na tulikuwa tunatoa 4000/= kila mlango mara milango 50.
 


Hadithi ni tamu lakini jamaa anaomba kuelimishwa kuwa ni sheria ipi ndani ya katiba yetu inayotamka "Ulinzi shirikishi" na si vinginevyo
 
Hii ni chai, eti umevamiwa unapata muda wa kubishana na hao walinzi shirikishi
 
Nilinde nini? Wajibu wangu ni kulinda mali zangu tu
kumbe hata haki zako huzijui ndio maana unakuja kutulalamikia hapa...."jukumu la kuilinda Tanzania ni lakila mwananchi sio kazi ya vyombo vya ulinzi pekee yake"
na ulinzi wa nchi unaanzia nyumbani mtaani hadi kwenye mipaka
 
tatizo shule kamanda...kuna moja huko wilayani kwetu ni tajiri uchwala...wilaya iliamua kuchangisha fedha kwaajili ya dharula...haswa kutengeneza magari ya dharula fire na ambulence ambayo yalikuwa yameshachakaa....
hilo tajiri lilivyofuatwa kuombwa mchango ata wa 1000 tu aliwafukuzwa wawakilishi wa almashauri....
haikupita wiki gari yake ya mafuta iliwaka moto...taratibu taratibu...kiasi fire wangewahi ingenusurika ile gari...
ile ajari ilisababisha nyumba za watu kuungua.

li gari lenyewe halikuwa hata na bima....
kwa kumkomoa alifunguliwa kesi kama 40...hivi
 
CONTROLA mimi sio mtaalamu wa sheria lakini ninajua kidogo kwa uchache sana.
Kuna aina nyingi za sheria na zingine zinafanya kazi kwa baadhi ya maeneo husika tu,na kutungwa katika eneo hilo.
Mfano wilaya A inaweza kuweka kikao wakadhamiria mwisho kutembea ni saa 3 usiku na faini ni 50,000/ atayefuata sheria hii ni wale watao ishi eneo husika tu.
Turudi kwenye hoja yako hayo malipo ya elfu 3 yamepangwa katika mkutano na ni makualiano ya wakazi wa eneo unaloishi wewe hukudhuria itakuwa.
Inaenda wapi? Mara hiyo pesa iinatumika kununua mahitaji ya wanaolinda usiku(silaha za jadi) panga, rungu, jacket kwa ajili baridi na ingine inayobakia ni kama posho.
Sio lazima athari ya wizi ifanyike mahali ndio eti ulinzi uwekwe, sio wajibu kuacha kujilinda mwemyewe kwa kuwa et! Polisi wapo,jilinde kabla haujalindwa.
Kuna baadhi ya maeneoa nimewai kuishi hautozwi pesa yoyote mchango ni kila nyumba yenye kijana wa kiume atalinda kwa wiki mara 2 kwahiyo ni mwendo wa shift zamu kwa zamu leo hawa kesho wengine maisha yanaenda na sikuwa kulinda nilihama,sio sheria ya kitaifa kwamba haibadiliki.
Kupanga ni kuchagua kulipa au kutolipa,shiriki au kutoshiriki.
 
Ni sehemu gani huyo jamaa ameandika alivamiwa?yawezekana sijasoma vizuri.
Story zenu za kitoto pelekeni huko fb! Ulinzi shirikishi upo maeneo mengi! Na hii huwa ni makubaliano ya wananchi sehemu husika pamoja na serikali zao za mitaa au vijiji! Tunachangia! Hawa uwezo wao ni kuwazuia vibaka! Majambazi wenye silaha wanadhitiwa na polisi
 
Polisi wapo wangapi?
Wananchi tupo wangapi?
Wezi wapo wangapi?
Nadhani ulinzi Shirikishi ni kusogeza huduma ya Ulinzi mtaani kwako hasa km mtaona inafaa wenyewe...polisi hawawezi kumlinda kila mtu nyumbani kwake wao wapo vituoni Ila mkikamata muhalifu na kumpeleka hawakatai. Muhimu ni kuangalia matukio mtaani kwako, kumbuka una familia na unahitaji kusonga mbele; Shilingi 3000/= Ikatishe ndoto zako na familia yako, Wezi wangekuwa na Akili wangeheshimu ndoto za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…