🤣🤣🤣😀😀nilitoroka shule nikaenda kumuona DJ kwa feeh! 😁, kuna mtu alinidanganya kuwa Fetty ni shombeshombe kama mwarabu mweupe anang'aa...nikaona isiwe tabu fiesta moja wakaja nikaenda zangu nimuone tu🫣😀😀...wanadamu hovyo sana, kumbe wa kawaida tu kama wengine
BICHWA KOMWE - njo uturhibishie.Hata BICHWA KOMWE anayo