๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐nilitoroka shule nikaenda kumuona DJ kwa feeh! ๐, kuna mtu alinidanganya kuwa Fetty ni shombeshombe kama mwarabu mweupe anang'aa...nikaona isiwe tabu fiesta moja wakaja nikaenda zangu nimuone tu๐ซฃ๐๐...wanadamu hovyo sana, kumbe wa kawaida tu kama wengine
BICHWA KOMWE - njo uturhibishie.Hata BICHWA KOMWE anayo