Bado nani sijamu UNFOLLOW Yanga?

Mkuu wewe unaelewa ambacho sisi tunakipigania. Heshima taasisi na mipaka izingatiwe pia
 
Binafsi nilikua muwazi mapema sana kua Kwa hili la kuchangia chama viongozi wa yanga wamezingua pakubwa.

Lakini pia ndio tafsiri ya binadamu hatujakamilika tukiweka hilo pembeni viongozi hao hao wamefanya mengi mazuri tukafurahi na kushangilia pamoja

Narudia Tena sijaunga mkono Wala sijafurahishwa na hiki walichokifanya... Lakini kabla ya kutoa Kila aina ya povu tujiulize kwanza hakuna sehemu tuliwahi kukosea kama binadamu? Uongozi una Siri kubwa sana amazo huwezi kuweka zote hadharani tunapaswa kutazama Yale mazuri kutoka Kwa mtu tusitafute ukamilifu kwa binadamu.
 
Lakini pia ndio tafsiri ya binadamu hatujakamilika tukiweka hilo pembeni viongozi hao hao wamefanya mengi mazuri tukafurahi na kushangilia pamoja
Kukosea kupo ndio ila unapogundua umekosea inatakiwa urudi kuchutama na kuomba radhi. Hiyo ni ishara ya hekima na kutambua nini ulichokifanya na wapi ulipokosea
 
Oko sahihi,ila wasamehe nadhani wamejifunza hawatarudia siyo Kila kitu kutafuta kiki,ingekuwa heri kama wangeenda viongozi na kutoa michango binafsi na siyo taasisi.piga moyo konde wasamehe huko huwenda na ccm wakaja kutuchangia kujenga uwanja wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…