mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,040
- 2,428
Uko sahihi mkuu Ila binafsi JF nimeifahamu kupitia mtu naye ndo alinielekeza namna ya kuijiunga na hata nickname sikuwahi jua kama ni ya mcheza porn tofauti na Jon SinyMuwe mnaangalia na majina mnayojipa pengine ndio mwanzo wa nuksi na mazonge,eti "Rocco Sifredi" yaani wewe ni mtu muhimu ila unajipa majina ya wacheza ngono tena wazibua mitaro,hata ukiipata hiyo kazi wateja wako watakuwa salama kweli!!?? Kifupi wewe ni mwanasheria uliyeathirika na picha za ngono hivyo hata kama tuna firm zetu tunaogopa kukupa kazi maana majina yanaumba
Bado hujatoboa tuu mkuu??
Bado mkuuBado hujatoboa tuu mkuu??
Umemaliza SAUT ipi??Bado mkuu
Shukrani
Sijaelewa hapa umemaanisha kukutisha au??Mbona unaitisha?anyway saul goodman the lawyer you can trust
Nitaliweka akilini mkuuZikitikea ajira za MAGEREZA unijuze nitakuunga unijulishe kumbuka magereza
Tafuta ardhi ukalime. mwananguWakuu nilileta ombi bado sijapata kazi ni mhitimu wa degree ya sheria natafuta kazi yoyote iliyoko ndani na nje ya taaluma hii pia.
Naweza kufanya mahakamani, kwenye law firm mbalimbali, etc iwe internship au vyovyote na mahali popote Tanzania.
Kwa yoyote atayeguswa hata kwa connection ntashukuru.
Kuwa jobless siyo kazi nyepesi Wakuu.
Prosperity96
Bandar Abbas
Sio kishoka Sehemu kama CMA anaruhusiwa kumuwakilisha mtu Kwa mujibu wa sheria kabisaa sio lazima awe wakili ndo amuwakilishe mtu hapo CMA.U
Unamfundisha kuwa kishoka .tuki mshika atajuta aende law school