Billioni 700 unaweza kujenga vivuko 20 vya billion 5 kila kimoja.Billioni 700 ni makusanyo ya kodi kwa mwezi moja tu, Tanzania ni tajiri nchi hii inaweza kutumia kadiri inavyoweza kutokana na jinsi inavyopata mapato yake. So long as that bridge benefits the people of the united Republic of Tanzania, I wouldn't care less. Pesa za mboga tu hizo.
Kilaza wewe wa.100.5%. Ferry unapata kwa $200,000 chini ya Mili450.Ferry au mitumbwi kilaza sana
Absolutely, kupanga ni kuchagua, hata raia wa Kigongo na Busisi wanahitaji maendeleo pamoja na daraja. Kigamboni hawana daraja? Daraja la Tanzanite Dar Es Salaam, Fly over Ubungo, pamoja na Pugu Road vipi?Billioni 700 unaweza kujenga vivuko 20 vya billion 5 kila kimoja.
Pia unaweza kujenga vyuo vya Veta 10 kwa bilioni 10 kila kimoja...
Absolutely, kupanga ni kuchagua, hata raia wa Kigongo na Busisi wanahitaji maendeleo pamoja na daraja. Kigamboni hawana daraja? Daraja la Tanzanite Dar Es Salaam, Fly over Ubungo, pamoja na Pugu Road vipi? Daraja la mto Ruvuma unalifahamu mpakani na Mozambique? (BTW unaweza kuweka miradi yote mikubwa inayofanywa/iliyofanywa na Serikali toka tupate uhuru). Maendeleo hayana chama wacheni wivu! Tanzania ya sasa haiangalii gharama inaangalia kuboresha miundo mbinu kwa raia wake popote pale walipo.
WEWE UMEISHIWA NGUVU, KWA KUSAMANISHA BILION 700 NA UHAI WA BINADAMU? BASI UTAPATA NGUVU SIKU UKISIKIA MAMIA KWA MAELFU YA WATANZANIA WAISHIO MWANZA NA GEITA NA BUKOBA, UTAKAPOSIKIA AU KUONA WAMEZAMA NA KUTEKETEA NA VIVUKO VYA BUSISI, KAMANGA NA KIGONGO.Mimi ni muungaji mkono wa mheshimiwa katika yote anayoyafanya ila hili daraja la busisi nimeishiwa na nguvu kabisa
Daraja linajengwa kwa bilioni 700[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Hiyo ni pesa ndefu sana sijui nisemeje trilioni kasoro...
WEWE UMEISHIWA NGUVU, KWA KUSAMANISHA BILION 700 NA UHAI WA BINADAMU? BASI UTAPATA NGUVU SIKU UKISIKIA MAMIA KWA MAELFU YA WATANZANIA WAISHIO MWANZA NA GEITA NA BUKOBA, UTAKAPOSIKIA AU KUONA WAMEZAMA NA KUTEKETEA NA VIVUKO VYA BUSISI, KAMANGA NA KIGONGO.
WAPINZANI WA MWAKA HUU NI KERO KWA TAIFA LETU.
Msema kweli ni mpenzi wa MunguSio bilioni 700. Andika tsh 700,000,000,000/= ili uone pesa.
Kuna mtu anataka aingie kwenye forbes kwa kodi zetu.
Daraja la kigamboni limejengwa kwa bilion 315 na lita urefu wa mita 680.. busisi bridge ni kilomita tatu na mita mia mbili kwa hesabu ndogo lipi hapo linagharama kubwa.Mimi ni muungaji mkono wa mheshimiwa katika yote anayoyafanya ila hili daraja la busisi nimeishiwa na nguvu kabisa
Daraja linajengwa kwa bilioni 700[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]....
Wenye changamoto ni wengine tu? Sio walio Busisi au Kigongo? Labda ni mvivu wa kusoma nimekuwekea miradi ya madaraja hapo awali nk Wacha wivu!..tatizo ni kwamba maamuzi yooote yanafanywa na mtu mmoja.
..kuwekeza billion 700 ktk daraja moja tu huku wananchi wana changamoto za kila aina siyo busara...
Kwani uwanja wa bombardier pale chatou alijenga nani?Nani anajenga hilo daraja? Tuanzie hapo kwanza alafu baadae tujiulize, nani anafanya malipo?
Wacha wapige tu, maana msema kweli ni mpenzi wa Mungu!..billioni 700.
..unaweza kutumia billion 100 kujenga vivuko 20 kila kimoja bilion 5.
..unaweza kutumia billion 100 kujenga veta 10, kila moja billion 10.
..halafu ukabakiwa na billion 500 za kutatua changamoto nyingine kama maji, masoko,etc.
Hata wewe ulicho kiandika ni ushabiki maandazi tu, tuwekee ushahidi wa hizo km tupime sisi wenyewe.Daraja la kigamboni limejengwa kwa bilion 315 na lita urefu wa mita 680.. busisi bridge ni kilomita tatu na mita mia mbili kwa hesabu ndogo lipi hapo linagharama kubwa.