ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Haiwezekani kila mtu akawa anajipangia Cha kufanya ndio maana Kuna vipaombele vya kitaifa vinavyoratibiwa na wataalamu wa uchumi baada ya kufanyia utafiti mahitaji ya msingi ya wananchi.Kujenga viwanja ni upuuzi Kama huu tu wa madaraja.Hata angefanya hivyo, wapo watu wangepinga na kusema Ni maendeleo ya vitu, huenda hata wewe ungekuwa ni mmoja wao.
Serikali umejenga vituo vya afya Kama 500 hivi umesikia nani anapinga? Sera ya afya ni kituo cha afya kila kata lakini Kuna zaidi ya kata 2000 hazina vituo vya afya hapo bado zahanati kila Kijiji nk
Hiyo pesa ingetisha vituo vya afya 120 kwa Bei ya serikali ya mln 500,huoni tungeendelea kupunguza tatizo?