Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Wewe kamanda mwenzangu huoni umuhimu wa hili daraja? Ulishakuta foleni ya magari kama feri imeharibika? Kamanda unatia aibu sana. Unakiabisha chama chetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeni pre empty. Kuna wakati unaweza kukaa hapo kivukoni zaidi ya saa 6 unasubiri kuvuka. Wagonjwa kutoka Chato, Biharamulo, Geita, nk wanakimbizwa na Ambulance kwenda Bugando referal hospital .Ningemuelewa kama labda angesema wangeongeza ukubwa wa gati na kuongeza idada ya vivuko kutoka viwili vya sasa hadi kumi.Si kila daraja lipo kwa ajili ya kupata faida. Mwanza kuna hospitali kubwa ya kanda, unapotumia feri wagonjwa wanachelewa kuvuka na kuhatarisha uhai/afya wao/zao.
Pia kivuko cha feri hakiaminiki si tu kwa usalama lakini pia hata utengemano si muda wote kitakuwa kizima.
Na inawezekana hata hata kwa mwaka usiwahi kupita kwenye njia hii.
NOTE: NIMEKUJIBU LAKINI NATAMBUA WAZI UPO MLENGO WA KUPINGA.
Matatizo ya shule ndogo kichwani; Uelewa mdogo! Hizo barabara zina umuhimu wa kiuchumi? Mbona muli support bandari ya Bagamoyo.Ni kutupa fedha za maskini baharini. Bilioni 700 tungejenga barabara kilometer 700 kanda ya ziwa ingeunganishwa wilaya zote kwa barabara safi ya lami.
Ubongo wako ushughulishe kidogo hivi wewe na akili zako hujui humuimu wa daraja linalounganisha mkoa mmoja na mkoa mwingine,kwanini lakini chadema mnakuwa nyumbu hivyo ,kabla ya swali lako ungejiuliza umuhimu wa madaraja yafuatayo:nyerere la kigamboni,kikwete la malagarasi,mkapa la rufiji,wami la mto wami na maeneo hayo yote yalikuwa na vivuko kabla ya ujenzi wa madaraja hayo.
Matatizo ya shule ndogo kichwani; Uelewa mdogo! Hizo barabara zina umuhimu wa kiuchumi? Mbona muli support bandari ya Bagamoyo.
Si kila daraja lipo kwa ajili ya kupata faida. Mwanza kuna hospitali kubwa ya kanda, unapotumia feri wagonjwa wanachelewa kuvuka na kuhatarisha uhai/afya wao/zao.
Pia kivuko cha feri hakiaminiki si tu kwa usalama lakini pia hata utengemano si muda wote kitakuwa kizima.
Na inawezekana hata hata kwa mwaka usiwahi kupita kwenye njia hii.
NOTE: NIMEKUJIBU LAKINI NATAMBUA WAZI UPO MLENGO WA KUPINGA.
Wewe naona huna unachjua katika nchi yoyote.Sawa kwa huu utetezi wako, hebu tuambie hayo madaraja yalikuwa ya bei gani hizo sehemu ulizotaja? Tufanye hivi, ingetolewa 20-50b ikajegwa hospitali, 100b kivuko, kisha 50b vikajengwa viwanda kadhaa. Halafu 350b+ ikaelekezwa sehemu nyingine huoni ingekuwa jambo la maana, zaidi ya hilo pambo kwa sehemu yenye tija ndogo?
Wewe unayo hoja hebu tuambie kingejengwa kiwanda cha kutengeneza nini.Hilo eneo lote ni wagonjwa wafupi mpaka daraja la 70b lijengwe kwa ajili ya wagonjwa? Si wangejenga hospitali ya 100b, kisha hizo 600b wakajenga viwanda maeneo hayo watu wapate ajira?
Wewe hoja unayo sema umeshindwa kuielezea napenda watu kama wewe,lakini daraja hilo likijengwa wenye magari watalipia hivyo yatakuwa ni Yale Yale japo ushauri wako ungechanganua kwa sababu kiwanda ni kweli kinazalisha ajila lakini uendeshaji wa kiwanda ni jambo lingine kabisa ndio maana kuna watu wanafanya kazi serikalini anaweza kopa zaidi ya m10 lakini akianzishia biashara inamshinda na hela imeenda, anaona bora akope akajenge nyumba ambayo haifilisiki wala haina hali mbaya,Sawa kwa huu utetezi wako, hebu tuambie hayo madaraja yalikuwa ya bei gani hizo sehemu ulizotaja? Tufanye hivi, ingetolewa 20-50b ikajegwa hospitali, 100b kivuko, kisha 50b vikajengwa viwanda kadhaa. Halafu 350b+ ikaelekezwa sehemu nyingine huoni ingekuwa jambo la maana, zaidi ya hilo pambo kwa sehemu yenye tija ndogo?
Mkuu halijengwi Kananga Bali busisi ferryDaraja muhimu sana hilo,litaondoa adha ya kuvuka pale kamanga ferry,,litarahisisha magari ya mizigo toka kagera kuingiza mzigo mjini mfano ndizi,maharagwe etc,
Wakulima wa sengerema,geita pia ni wanufaikaji wa hili daraja,
Mda mwingi hupotea kusubiri ferry
Mayanga labda apewe kazi ya kuleta kokoto,mana hafiti kokote kwenye huo ujenzi.Mayanga Construction Company Limited! Tenda nyumbani
Lissu alipita hapo kigongo ferry akaubeza huo mradi lakini mhe Magufuli aliusifia na kueleza umuhimu wake. Ngoja tuone tar 28 wananchi watatuambia.
Mimi ninavyofahamu hilo eneo kwa siku linapitisha magari na watu wengi sana. Kuvuka kwa kivuko inakula kama dk 30 mpaka 45.
Si kila daraja lipo kwa ajili ya kupata faida. Mwanza kuna hospitali kubwa ya kanda, unapotumia feri wagonjwa wanachelewa kuvuka na kuhatarisha uhai/afya wao/zao.
Pia kivuko cha feri hakiaminiki si tu kwa usalama lakini pia hata utengemano si muda wote kitakuwa kizima.
Na inawezekana hata hata kwa mwaka usiwahi kupita kwenye njia hii.
NOTE: NIMEKUJIBU LAKINI NATAMBUA WAZI UPO MLENGO WA KUPINGA.
Unaweza ukawa uko sahihi kwa upande wako lakini kwa wengine sio sahihi: (1)fly over ni kilio cha muda mrefu kwa watu wa dar ilifika mahali MTU analazimika kuacha gari nyumbani anaenda kwa boda, (2)kuamia Dodoma kiserikali kuna maana sana kuliko unavyodhania wewe na pia kuna faida ya wakazi wa Dodoma kuongeza thamani ya ardhi yao na kupata mzunguko wa fedha,kukuza mji,kuongeza mapato ya almashauri sasa hapo hakuna faida. (3),bwawa la umeme mbona jambo hili liko wazi, (4)reli inapunguza gharama ya usafirishaji ukinunua ciment iliyosafiri kwa treni ni tofauti na iliyosafirishw kwenye roli omba mungu miladi ihishe utaona faida take.Kuna miradi ambayo imefanywa safari hii ambayo haikutakiwa iwe priority. Ununuzi wa ndege, Kuhamia Dodoma nafikiri hayo hayangekuwa kipaumbele.
Kwenye irani ya CCM wanadai awamu hii wataimarisha kilimo cha umwagiliaji kwa kulima ekali 1 million. Hii ilikuwa kwenye ilani yao ya 2015 lakini hawakuitekeleza. Sasa kilimo na Ndege kipi kilitakiwa kiwe kipaumbele? Maana kama ni ndege zilikuwepo na zilikuwa zinapeleka watu kila mahali tena kwa bei rahisi tu. Binafsi nafikiri kama pesa za kutosha zingewekzwa kwenye kilimo, gas na Chuma huko Mchuchuma na kusimamiwa vizuri kama walivyofanya kwenye SGR na fly overs basi miaka hii mitano ingekuwa ya neema sana .... Tungeweza kufanya miradi yote bila matatizo kwa kutumia pesa ya ziada ambayo tungeiteneza kutokana na kilimo, gas na chuma!.
Kwa njia tuliyoitumia the catch is itabidi tuendelee kufanya miradi yote kwa jia ileile bila butegemea kipato cha ziada. Matokeo yake watu wasitegemee mabadiliko makubwa kwenye maisha yao kwani mishahara haitapanda
Wewe naona huna unachjua katika nchi yoyote
Wewe unayo hoja hebu tuambie kingejengwa kiwanda cha kutengeneza nini.
Hili jina langu sijui alilipata wapi huyu jiwe.Mtamuua kwa presha mzee Mayanga
Good!alafu kiendeshwe na nani?Vifaa mbalimbali vya plastiki kama mabeseni, ndoo, pipes za maji safi na majitaka. Pia viwanda vya maziwa na ngozi kwani huko kanda ya ziwa ni sehemu ya wafugaji. Unataka nikuongezee matumizi sahihi mengine ya 700b?
Wewe hoja unayo sema umeshindwa kuielezea napenda watu kama wewe,lakini daraja hilo likijengwa wenye magari watalipia hivyo yatakuwa ni Yale Yale japo ushauri wako ungechanganua kwa sababu kiwanda ni kweli kinazalisha ajila lakini uendeshaji wa kiwanda ni jambo lingine kabisa ndio maana kuna watu wanafanya kazi serikalini anaweza kopa zaidi ya m10 lakini akianzishia biashara inamshinda na hela imeenda,anaona bora akope akajenge nyumba ambayo haifilisiki wala haina hali mbaya,
Lakini kiwanda vina changamoto nyingi masoko,uendeshaji,migomo,hasara vipuli na mambo mengi ambayo ni ngumu kuyaelezea lakini daraja unalijenga Leo miaka 100 linaendelea kuwepo na kufaidisha umma mambo mengine ni kuchagua tu ndio maana China ilijenga ukuta mkubwa miaka mingi iliyopita lakini mpaka Leo unaingiza pesa,wamejenga mabwawa ya umeme makubwa kuliko yoyote duniani MG100000 kwa pesa nyingi ambazo zingeanzisha viwanda kila kona ya China pia wamejenga daraja la vioo kwa ajili ya utalii nalo limetumia pesa nyingi,
wamejenga treni ya chini ya ardhi na juu yote hayo ni mapesa ambayo wangewekeza kwenye viwanda wangekuwa na viwanda kila uchochoro jambo LA muhimu ni kuona miundombinu wezeshi kwa miaka 100 ijayo viwanda tuwaachie sekta binafsi ambao wanamudu kutokana na uchungu wa uwekezaji.