Bado natafuta mantiki ya kujenga hili Daraja la Kigongo - Busisi kwa Tshs. Bilioni 700

Bado natafuta mantiki ya kujenga hili Daraja la Kigongo - Busisi kwa Tshs. Bilioni 700

Tenda wema nenda zako na sio kila mtu atafuraiha kila kitu hata kama hizo billion 700 akipewa kila mtu lazima kutokea manuguniko.

Hivi kigongo busisi ipo Uganda?
 
Tenda wema nenda zako na sio kila mtu atafuraiha kila kitu hata kama hizo billion 700 akipewa kila mtu lazima kutokea manuguniko.

Hivi kigongo busisi ipo Uganda?
Yan ndugu hii nchi its only unafiki ndio unaoturudisha nyuma. Hii nchi hata aje kiongozi kama malaika sisi tutaendelea kulag behind tuuu
Chukulia mfano Arusha City kuna mradi mkubwa wa maji zaid ya billion mia tano hawajauona wakasema hizo hela ni nyingi zingefanya mambo mengine. Mimi sio mkazi wa mwanza nimefika busisi pale hilo daraja ni mkombozi kwa wananchi wa maeneo yale.

This guys ni kama wameahikiwa akili whatever lisu akiongea wao wanachukua kama lilivyo.
 
Sasa ngoja hilo daraja likamilike uone watakaopita hapo kama watakuwa wengi kuzidi feri. Hivi unajua kurudisha bilioni 700 wewe! Hizo hela ni nyingi sana kwa kuelekeza kwenye mradi kama ule. Any way ila Jiulize kwanini hata yeye Magufuli anahisi alifanya kitu kisicho na tija hadi anahimiza waharakishe ili Rais mwingine asije akaufuta huo mradi.
Kwa Mantiki hyo Hata Daraja la Kigamboni Hadi sasa halina faida Kwa Wana Kigamboni na Maeneo lilopo Hilo Daraja?
 
Nchi yenye chuki ya kiwango hiki haiwezi kudumu ni suala la muda tu we Chato yao watakuwa huru na sisi wa Mtemi Mkwawa tutakuwa na nchi yetu.

Halafu jimbo la kanda ya ziwa tutajenga na ukuta kabisa. Hakuna kuchukua hata samaki mmoja kupeleka jimbo jingine. Tutauza nje ya nchi tu.
 
Yan ndugu hii nchi its only unafiki ndio unaoturudisha nyuma. Hii nchi hata aje kiongozi kama malaika sisi tutaendelea kulag behind tu.

Chukulia mfano arusha city kuna mradi mkubwa wa maji zaid ya billion mia tano hawajauona wakasema hizo hela ni nyingi zingefanya mambo mengine. Mimi sio mkazi wa mwanza nimefika busisi pale hilo daraja ni mkombozi kwa wananchi wa maeneo yale.

This guys ni kama wameahikiwa akili whatever Lissu akiongea wao wanachukua kama lilivyo.
Kabisa mkuu.

Wanadamu hatuna jema mazee
 
GSam, mimi nilishawaza na kuwazua juu ya mantiki ya ujenzi wa hilo daraja, nimeishia kusikitika tu maana bado kuna mambo mengi muhimu zaidi ya hilo daraja ambalo kwa gharama zake za ujenzi ni kubwa mno wakati umuhimu wake kiuchumi ni mdogo mno. Ilikuwa ni kuonyesha ufahari, kujidai na upendeleo.

Vv
 
Yan ndugu hii nchi its only unafiki ndio unaoturudisha nyuma. Hii nchi hata aje kiongozi kama malaika sisi tutaendelea kulag behind tu.

Chukulia mfano arusha city kuna mradi mkubwa wa maji zaid ya billion mia tano hawajauona wakasema hizo hela ni nyingi zingefanya mambo mengine. Mimi sio mkazi wa mwanza nimefika busisi pale hilo daraja ni mkombozi kwa wananchi wa maeneo yale.

This guys ni kama wameahikiwa akili whatever lisu akiongea wao wanachukua kama lilivyo.
Dar es salaam ina mradi wa DMDP wa zaidi ya billioni 600b, Flyover ya Ubungo 200b, Flyover ya Tazara 95b, Daraja la Kigamboni 250b...total km 1.1T haya yote hawayasemi wameona kamoja tu ka busisi. Kuna watu wana ka unafiki sana
 
Si kila daraja lipo kwa ajili ya kupata faida. Mwanza kuna hospitali kubwa ya kanda, unapotumia feri wagonjwa wanachelewa kuvuka na kuhatarisha uhai/afya wao/zao.

Pia kivuko cha feri hakiaminiki si tu kwa usalama lakini pia hata utengemano si muda wote kitakuwa kizima.

Na inawezekana hata kwa mwaka hujawahi kupita katika njia hii ndio maana unabeza.

NOTE: NIMEKUJIBU LAKINI NATAMBUA WAZI UPO MLENGO WA KUPINGA.
Yaani wagonjwa wa Sengerema ambao kwenda hospitali ya Bugando wanavuka kama wale wa Kigamboni ndio muhimu kwa gharama hiyo? Kwa nini isingejengwa hospitali kubwa nyingine Geita? Sasa watu wa Katavi na Kigoma ambao hata lami ya kuwafikisha hiyo hospitali kubwa ya Bugando haipo utasemaje?

Vv
 
Dar es salaam ina mradi wa DMDP wa zaidi ya billioni 600b. Flyover ya Ubungo 200b. Flyover ya Tazara 95b. Daraja la Kigamboni 250b. Total km 1.1T haya yote hawayasemi wameona kamoja tu ka Busisi, kuna watu wana ka unafiki sana
Watu wanasemasema eti pale kigongo ndo kwao na mama Jesca , sijui kama ni kweli.
 
Yaani wagonjwa wa Sengerema ambao kwenda hospitali ya Bugando wanavuka kama wale wa Kigamboni ndio muhimu kwa gharama hiyo? Kwa nini isingejengwa hospitali kubwa nyingine Geita? Sasa watu wa Katavi na Kigoma ambao hata lami ya kuwafikisha hiyo hospitali kubwa ya Bugando haipo utasemaje?

Vv
Kwani unadhani watu wa kigoma na katavi wakiwa wanapitia wanakwenda Bugando unadhani wanapitia wapi km sio hapo hapo Darajani Busisi Otherwise wazunguke Tabora. Bugando ni km Muhimbili, kuna mwananyamala, Temeke, Mloganzila and the likes ila still watu wanajaa Muhimbili. Geita kuna hospitali kubwa Mpya ya rufaa ya Mkoa ila still watu wanakwenda Bungando. Kifupi Bugando haikwepeki na hilo daraja halikwepeki.
 
G Sam,

Hilo daraja wanapita wanyama? Ungejua umuhimu wa daraja hilo kiuchumi kwa nchi za ukanda wa maziwa makuu usingeweka post yako. Nchi kama Rwanda, Congo na Burundi mizigo yao inayopitia bandari ya Mombasa inazunguka sana kwa kupitia njia ya Uganda. Kukamilika kwa daraja tu kutaineemesha nchi yetu kwa ujumla uwepo wa transit corridor ya mizigo kwenda nchi jirani itafungua fursa za kibiashara kwa mikoa ambayo inaunganishwa na daraja.

Kumbuka pamoja na uwepo wa Ferry tatu bado huwa hazitoshi, mpaka usiku Ferry huwa zinafanya kazi (kukesha) kwa ajili ya kuvusha malori ya mizigo kutokana na umuhimu wa hiyo njia. Daraja likikamilika asilimia kubwa ya mizigo kutoka bandari ya Mombasa kwenda Rwanda, Burundi na hata Congo DRC itakuwa inapita Tanzania badala ya Uganda. Kwa hili I stand with JPM.
 
Hilo daraja wanapita wanyama? Ungejua umuhimu wa daraja hilo kiuchumi kwa nchi za ukanda wa maziwa makuu usingeweka post yako. Nchi kama Rwanda, Congo na Burundi mizigo yao inayopitia bandari ya Mombasa inazunguka sana kwa kupitia njia ya Uganda. Kukamilika kwa daraja tu kutaineemesha nchi yetu kwa ujumla uwepo wa transit corridor ya mizigo kwenda nchi jirani itafungua fursa za kibiashara kwa mikoa ambayo inaunganishwa na daraja.

Kumbuka pamoja na uwepo wa Ferry tatu bado huwa hazitoshi, mpaka usiku Ferry huwa zinafanya kazi (kukesha) kwa ajili ya kuvusha malori ya mizigo kutokana na umuhimu wa hiyo njia. Daraja likikamilika asilimia kubwa ya mizigo kutoka bandari ya Mombasa kwenda Rwanda, Burundi na hata Congo DRC itakuwa inapita Tanzania badala ya Uganda... Kwa hili I stand with JPM....
Hakuna umuhimu wowote ule maana kibiashara Uganda haitegemei sana Tanzania kutokana na uhuni wa kodi. Yani ule ni upotevu wa fedha za umma
 
Acha bangi wewe,tunahitaji maendeleo mhe Rais katekeleza ilani ya chama kwa asilimia99 hapa kazi tu nyau wewe unaepinga maendeleo nenda ulaya uone madaraja zaidi ya Hilo mbona wamejenga kwanini sisi Tanzania tusijenge.
 
Hilo daraja wanapita wanyama? Ungejua umuhimu wa daraja hilo kiuchumi kwa nchi za ukanda wa maziwa makuu usingeweka post yako. Nchi kama Rwanda, Congo na Burundi mizigo yao inayopitia bandari ya Mombasa inazunguka sana kwa kupitia njia ya Uganda. Kukamilika kwa daraja tu kutaineemesha nchi yetu kwa ujumla uwepo wa transit corridor ya mizigo kwenda nchi jirani itafungua fursa za kibiashara kwa mikoa ambayo inaunganishwa na daraja.

Kumbuka pamoja na uwepo wa Ferry tatu bado huwa hazitoshi, mpaka usiku Ferry huwa zinafanya kazi (kukesha) kwa ajili ya kuvusha malori ya mizigo kutokana na umuhimu wa hiyo njia. Daraja likikamilika asilimia kubwa ya mizigo kutoka bandari ya Mombasa kwenda Rwanda, Burundi na hata Congo DRC itakuwa inapita Tanzania badala ya Uganda... Kwa hili I stand with JPM....
Tatizo la wengi wanaopinga wana-base kwenye 700b bila kuangalia hali halisi ya huko linakojengwa daraja. Sasa kwa mindset ya kuangalia hela tu bila kuangalia hali halisi ya uhitaji wa hilo daraja tutakuwa tunaposha watu wengine bila sababu za msingi. Wengine humu wanapinga tu wakati hawajui hata daraja lenyewe linajengwa wapi kazi kupinga tu kila kitu anachofanya JPM utadhani huyo mungu mtu wao wanaomabudu anaweza kuwa na guts kama za JPM hata robo!
 
Back
Top Bottom