Bado natafuta mantiki ya kujenga hili Daraja la Kigongo - Busisi kwa Tshs. Bilioni 700

Bado natafuta mantiki ya kujenga hili Daraja la Kigongo - Busisi kwa Tshs. Bilioni 700

................................................................ Watu mlioajiriwa huwa mna akili fupi sana.
Kuajiriwa ndo nini?
Fedha za ndani au nje unaijua tofauti yake? Naomba kwanza tufahamiane. Ni taaluma gani unayoiweza bila makosa? Uchumi, sayansi, Historia, lugha au Hesabu? Niambie ili nijue wapi pa kuanzia maana nisingependa kuelimishana na mtu ambaye tofauti yetu ni jiwe na maji.
 
Kwa maon hapa nimegundua wanaotumia njia hio ndio wamelitetea sana.kwa maaana wao ndio wanaelewa umuhim wake.yale yake ya kitanda usichokilalia hwajui kungun wake!! kama ilikua kivuko kikijaa unasubir sana bora daraja ili mtu upite hapo kwa haraka.

Huenda na ruti za mabas ya abiria zikawepo. Meli pia kwa watalii. kwa nini MTOA MADA UMEKALIA KUPINGA PINGA TU. MBONA TUNAONA NEW YORK WANA MADARAJA MAREFU SANA NA VIVUKO PIA VIPO
 
Watu wengi mnaojadili hili swala mnaweza msifahamu viashiria vya nchi kukua kiuchumi, au pia mnaweza msifahamu uhandisi ujenzi na faida zake, nafikiri pia mppaka mradi huo kuwa executed wataalamu wa kutosha wa kila nyanja walijumuishwa, sio mradi wa bahati mbaya au fikra za mtu mmoja.
Unafikiri ulihusisha watu wengi. Huna hakika
 
Si kila daraja lipo kwa ajili ya kupata faida. Mwanza kuna hospitali kubwa ya kanda, unapotumia feri wagonjwa wanachelewa kuvuka na kuhatarisha uhai/afya wao/zao.

Pia kivuko cha feri hakiaminiki si tu kwa usalama lakini pia hata utengemano si muda wote kitakuwa kizima.

Na inawezekana hata hata kwa mwaka usiwahi kupita kwenye njia hii.

NOTE: NIMEKUJIBU LAKINI NATAMBUA WAZI UPO MLENGO WA KUPINGA.
Kwamba kivuko kitakuwa kinazima?
 
Kuajiriwa ndo nini?
Fedha za ndani au nje unaijua tofauti yake? Naomba kwanza tufahamiane. Ni taaluma gani unayoiweza bila makosa? Uchumi, sayansi, Historia, lugha au Hesabu? Niambie ili nijue wapi pa kuanzia maana nisingependa kuelimishana na mtu ambaye tofauti yeti ni jiwe na maji.

Nimeishia darasa la saba la ukweli, lakini nina uelewa wa kuridhisha wa mambo. Unaweza kuanzia hapo boss.
 
Kwanini badala ya kuongeza vivuko usijenge daraja ambalo kila mtu atapita hata nwenye vibaiskeli atapota bila usumbufu?

Hivi uchumi wa huyo Lisu wenu ni aina gani kama washabiki wake ndio hivi?

..sisemi kwamba daraja halifai wakati wote.

..hoja yangu ni kwamba eneo la ukanda wa ziwa lina changamoto nyingi.

..sasa hizo billion 700 zingeweza kutatua changamoto mbalimbali, kuliko sasa hivi ambapo zote zimeelekezwa kujenga daraja.
 
Wajengee hospitality pale walipo, wawe stabilized then ndio wapelekwe bugando. Kusafirisha wagonjwa mahututi ni ushamba. Lisu alipelekwa ubelgiji, je kuna daraja kati ya tz na ubelgiji
Si lazima wagonjwa wawe mahututi pia kuna suala la utengemano wa kivuko ambao si wa kuaminika.

Pia, daraja halitumiki tu kuvusha wagonjwa hata movements za haraka za watu tu na shughuli zao ni muhimu.

NOTE:
1. NINGETAMANI KUONA HOJA ZIKO ZINAJITEGEMEA BILA KUTUMIA MANENO YA WANASIASA/TUNDU LISSU KATIKA SUALA LA KIVUKO.
2. KUPANGA NI KUCHAGUA, HII KANUNI INAAPPLY HATA MAISHA BINAFSI/TAASISI.
 
kwa maon hapa nimegundua wanaotumia njia hio ndio wamelitetea sana.kwa maaana wao ndio wanaelewa umuhim wake.yale yake ya kitanda usichokilalia hwajui kungun wake!! kama ilikua kivuko kikijaa unasubir sana bora daraja ili mtu upite hapo kwa haraka.Huenda na ruti za mabas ya abiria zikawepo.meli pia kwa watalii. kwa nini MTOA MADA UMEKALIA KUPINGA PINGA TU.MBONA TUNAONA NEW YORK WANA MADARAJA MAREFU SANA NA VIVUKO PIA VIPO
Siyo kweli
 
G Sam,

Kipindi ulipokua off-line Kuna mtu alisema eti Wana CHADEMA wakianzisha nyuzi za kupinga kila kitu ndipo wanapata dau kubwa.

Sijui lakini ila naona kama kuna kaukweli flani hiviii.
 
Hoji na la Kigamboni wakati kikwete Anatia mabilion pale lilikuwa na faida Gani Kwa wale waliopo Maeneo hayo
 
Wajengee hospitality pale walipo, wawe stabilized then ndio wapelekwe bugando. Kusafirisha wagonjwa mahututi ni ushamba. Lisu alipelekwa ubelgiji, je kuna daraja kati ya tz na ubelgiji

Good point
 
Kwa maon hapa nimegundua wanaotumia njia hio ndio wamelitetea sana.kwa maaana wao ndio wanaelewa umuhim wake. Yale yake ya kitanda usichokilalia hwajui kungun wake!! kama ilikua kivuko kikijaa unasubir sana bora daraja ili mtu upite hapo kwa haraka.Huenda na ruti za mabas ya abiria zikawepo.meli pia kwa watalii. Kwa nini MTOA MADA UMEKALIA KUPINGA PINGA TU. MBONA TUNAONA NEW YORK WANA MADARAJA MAREFU SANA NA VIVUKO PIA VIPO
Sio huenda ruti za mabasi zikawepo, mabasi na malori ni mengi sana hapa, basi za kwenda kigoma, Geita, kagera, uganda na malori yanayoenda Burundi, Rwanda DRC na kwingineko.

Kumbuka sehemu nyingi huku mpaka baadhi ya nchi jirani mwanza ndio sehemu ya kununulia vitu.
 
Wajengee hospitality pale walipo, wawe stabilized then ndio wapelekwe bugando. Kusafirisha wagonjwa mahututi ni ushamba. Lisu alipelekwa ubelgiji, je kuna daraja kati ya tz na ubelgiji
Daraja halipo kwa ajili ya wagonjwa tu, wagonjwa wanaopita pale ni asilimia chache sana, kuna malori na mabasi ndio balaa pale, mengine yanachukua dagaa na samaki wakavu kupeleka DRC.

Kuna mizigo ya nchi kama Rwanda kutoka ama kuelekea bandari ya mombasa mingine hupita njia hii, ni fupi kuliko kuzungukia uganda.
Jaribu kutembelea eneo husika kuliko hizi habari za kuambiwa tu.
 
Sasa ngoja hilo daraja likamilike uone watakaopita hapo kama watakuwa wengi kuzidi feri. Hivi unajua kurudisha bilioni 700 wewe! Hizo hela ni nyingi sana kwa kuelekeza kwenye mradi kama ule. Any way ila Jiulize kwanini hata yeye Magufuli anahisi alifanya kitu kisicho na tija hadi anahimiza waharakishe ili Rais mwingine asije akaufuta huo mradi.
Unvyosema hakuna watu ,unapajua vizuri au unapasikia tuu
 
Lissu alipita hapo kigongo ferry akaubeza huo mradi lakini mhe Magufuli aliusifia na kueleza umuhimu wake. Ngoja tuone tar 28 wananchi watatuambia.

Mimi ninavyofahamu hilo eneo kwa siku linapitisha magari na watu wengi sana. Kuvuka kwa kivuko inakula kama dk 30 mpaka 45.
Wasio watumiaji wa njia hiyo hawataweza kamwe kugundua umuhimu wa daraja hilo, sehemu ambayo kwa muda wa chini kabisa unatumia lisaa limoja. (Yaani nusu saa kuvuka na nusu saa kusubiri kuvuka)

Kukiwa na daraja utatumia wastani wa dakika tatu kuvuka.

Halafu anatikea mtu ANALIBEZA NA KULITUKANA DARAJA PAMOJA NA MAAMUZI YA KULIJENGA.

Enyi wapingaji wa kila kitu LAANA NYINGINE ZA KUToKUPIGIWA KURA HUWA MNAZITAKA WENYEWE
 
Back
Top Bottom