Bado Rais Samia haja-calculate mshahara


Kama umeona hicho huo ni mtazamo wako.

Na hiyo comment inakuhusu.
 
Mama mwenyewe kasema hatuna shukrani. Ina maana hatujaona lolote.
 
Hahahahahaha. Tumchague Ndugai basi
 
He was best? Alipandisha % ngapi enzi za utawala wake?
Fungua akiliyako mkuu, kuwa the best sio mbaka upandishe mishahara,hata ukidhibiti mfumuko wa bei pia your the best.
 
Haya nenda kakae na mavi yako nyumbani-Jiwe.
Yes, kama unataka kunya bure katika choo chakulipia bora ukakae na maviyako nyumbani kwako hakuna mtu atakae safisha maviyako bilamalipo.

Mlizoea kupakwa pakwa mafuta hata kwa mambo ya kipuuzi jembe akawa fyatua live kama mlivyo.
 
Ubora wa rais hautokani na kupandisha mishahara, ni bora mishahara iwe ya kawaida lakini mfumuko wa bei udhibitiwe. Angepewa muda wa kutosha nchi hii ingeenda mbali sana.
Apewe na Nani? Muda wa Kutosha SI anao Mwenyewe, ndio maana 'Akahamia' Marekani Wiki Bee... Na Bado Biden hakutaka Kuona naye! Nashaa Hata Vyombo vyetu vya Habari Havizungumzii hili!
Uende Nchi ya Watu na Raisi wake asitake Kukuona Wiki Mbili Nzima?? Kweli, Unapiga Mwingi....[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Wewe ni punguani kwa ulichokiandika PERIOD na Mama amesema mishahara itapanda July watu watajua imepanda kwa kiasi gani unalaumu hata July haijafika what's up bro ?relax
...Wote tulimsikia... Hakutaja Mwezi! Alisema tu 'Jambo letu lipo' na akaishia Hapo!
Hivi Hesabu za kumuongeza Mshahara Mfanyakazi zinachukua Siku Ngapi?? Toka Mwaka Jana alipoahidi, alikuwa anafanya Nini??
 
CCM ni Ile Ile...!
 
Kuwa na subira ndugu yangu, Mwezi wa saba bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…