Bado Rais Samia haja-calculate mshahara

Bado Rais Samia haja-calculate mshahara

Nimerejea. Ninachoona ni kuwa umeamini kuwa kuna nyongeza. Hapo ndipo uliponiona mtoto.
Umefikiria kuwa sasa ni mwaka,mama yako ndiyo anafikiria ku-calculate mshahara wako?

Siasa ngumu sana. Tunaweza gombana huku, mama yako anatanua US akizindua album

Kama umeona hicho huo ni mtazamo wako.

Na hiyo comment inakuhusu.
 
Sasa mkuu Sifa zote ulizomsifia magufuli ungeelekeza kwenye mengine tu maana kwa wafanyakazi hakufanya chochote ni uyu mama kapunguza Kodi na kupandisha madaraja ambayo uyo malaika wenu hakuyafanya for five years hivi we jamaa ulikuwa unaongelea nini labda??
Mama mwenyewe kasema hatuna shukrani. Ina maana hatujaona lolote.
 
Magufuli alipewa zaidi ya miaka mitano na hakuwahi kupandisha mishahara, kuajiri wala kutoa unafuu wa kimaisha zaidi ya kuwaambia watanzania wachape tu kazi, wafunge mikanda na kupiga marufuku siasa za uhuru, uwazi na Demokrasia.

Kwenye mambo ya wafanyakazi na haki zao Magufuli alikuwa mtu wa ovyo kupitiliza. Kwenye nyongeza za mishahara mpaka sasa sijaona tofauti ya Magufuli na Samia, wote wamekaa kitapeli tapeli sana.
Hahahahahaha. Tumchague Ndugai basi
 
He was best? Alipandisha % ngapi enzi za utawala wake?
Fungua akiliyako mkuu, kuwa the best sio mbaka upandishe mishahara,hata ukidhibiti mfumuko wa bei pia your the best.
 
Haya nenda kakae na mavi yako nyumbani-Jiwe.
Yes, kama unataka kunya bure katika choo chakulipia bora ukakae na maviyako nyumbani kwako hakuna mtu atakae safisha maviyako bilamalipo.

Mlizoea kupakwa pakwa mafuta hata kwa mambo ya kipuuzi jembe akawa fyatua live kama mlivyo.
 
Ubora wa rais hautokani na kupandisha mishahara, ni bora mishahara iwe ya kawaida lakini mfumuko wa bei udhibitiwe. Angepewa muda wa kutosha nchi hii ingeenda mbali sana.
Apewe na Nani? Muda wa Kutosha SI anao Mwenyewe, ndio maana 'Akahamia' Marekani Wiki Bee... Na Bado Biden hakutaka Kuona naye! Nashaa Hata Vyombo vyetu vya Habari Havizungumzii hili!
Uende Nchi ya Watu na Raisi wake asitake Kukuona Wiki Mbili Nzima?? Kweli, Unapiga Mwingi....[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Wewe ni punguani kwa ulichokiandika PERIOD na Mama amesema mishahara itapanda July watu watajua imepanda kwa kiasi gani unalaumu hata July haijafika what's up bro ?relax
...Wote tulimsikia... Hakutaja Mwezi! Alisema tu 'Jambo letu lipo' na akaishia Hapo!
Hivi Hesabu za kumuongeza Mshahara Mfanyakazi zinachukua Siku Ngapi?? Toka Mwaka Jana alipoahidi, alikuwa anafanya Nini??
 
Magufuli alipewa zaidi ya miaka mitano na hakuwahi kupandisha mishahara, kuajiri wala kutoa unafuu wa kimaisha zaidi ya kuwaambia watanzania wachape tu kazi, wafunge mikanda na kupiga marufuku siasa za uhuru, uwazi na Demokrasia.

Kwenye mambo ya wafanyakazi na haki zao Magufuli alikuwa mtu wa ovyo kupitiliza. Kwenye nyongeza za mishahara mpaka sasa sijaona tofauti ya Magufuli na Samia, wote wamekaa kitapeli tapeli sana.
CCM ni Ile Ile...!
 
Tukiwa bado tunalamikia ziara ya mama ya week mbili abroad. Ziara ambayo haijawahi fanywa na mkuu yoyote wa nchi kusini mwa Africa toka tupate uhuru, tunapigwa kitu kizito sana kichwani. Tunaambiwa alikuwa busy anatanua akasahau watu wake katika siku muhimu sana inayoaamua mengi kisiasa. Tunaamini waliomwandali hotuba wako katika hot soup muda huu.

Sisi mwaka jana tuliambiwa mshahara utapanda. Tena kwa bashasha na mbwembwe. Nadhani lengo lilikuwa kuwaonyesha kuwa Magufuri alikuwa mbaya kwa wafanyakazi. Kwa kuwa Hajapandisha mshahara miaka mitano.

Mwaka huu tunaambiwa bado hawaja-calculate viwango. Mwaka mzima!!!. Pia hali ya uchumi wa Dunia ni mbaya. Tunaaminishwa kuwa Kenya, ambao wameweka viwango na kutamka kwa kujiamini kuwa unapanda kwa asilimia 12, wako sayari Jupiter.

Kenya wako makini na raia wao. Mambo yako moja kwa moja na hakuna ubabaishaji. Haya mambo aliyaishi mzee wetu marehemu, Magufuri. RIP
Kuwa na subira ndugu yangu, Mwezi wa saba bado.
 
Back
Top Bottom