Bado sehemu kubwa ya watu wetu wamenga'ng'ania vijiji kichwani mwao (waporipori)

Wewe ni mmoja wao kwa kuogopa kujibu swali la Rais kukaa na kupiga picha katika kiti cha rubani. Kumbe muisi hushikwa na muisi mwenzie. Kubali yaishe
Mama hana shida, yuko busy kurekebisha vitu vingi vilivyofanyika kishamba kwenye utawala uliopita, siwezi kuwa sehemu ya watu wasio appreciate anachofanya
 
Mama hana shida, yuko busy kurekebisha vitu vingi vilivyofanyika kishamb kwenye utawala uliopita, siwezi kuwa sehemu ya watu wasio appreciate anachofanya
Mama hana shida kwanza lla walio mshauri afanye kitendo cha ushamba kuka kwenye kiti cha rubani na kupiga picha na kuirusha mitandaoni ya kijamii ililete taswira ya ushamba ndo wa kulaumu.
 
Mama hana shida kwanza lla walio mshauri afanye kitendo cha ushamba kuka kwenye kiti cha rubani na kupiga picha na kuirusha mitandaoni ya kijamii ililete taswira ya ushamba ndo wa kulaumu.
Hakika, na huu ndiyo uzi rekebu
 
Vitu vingi ulivyotaja ni vya uswahilini, na uswahilini upo mjini na siyo vijijini
 
Mama hana shida, yuko busy kurekebisha vitu vingi vilivyofanyika kishamba kwenye utawala uliopita, siwezi kuwa sehemu ya watu wasio appreciate anachofanya
Kwa hicho ulichokiandika, kumbe wewe si mporipori tu bali ni mpuuzi.
 
chanzo kikuu ni umaskini wa fedha na kimawazo na mtazamo..tatizo ni elimu na kuelimika hata mtoa mada unalo (take it easy... dont take it personal)nipo maeneo ya usukumani mambo ya kusalimiaana mda mrefu yapo sana mi napunga nasepa sina mda wa kusimama kusalimiana msiba wanataka ukae siku tatu(tatizo hapo ni umaskini na kumtia umaskini mfiwa hawana cha kufanya au cha kula..ila masika wenyewe hawakai kwenye misiba au vimikutano vya hovyo)sishiriki upuuzi natoa mchango nazika nasepa... unatakiwa kujua nini sababu ya hayo je we ni mmoja wa hizo...
 
Kwa hicho ulichokiandika, kumbe wewe si mporipori tu bali ni mpuuzi.
Una haki ya kutoa maoni yako mkuu

Umeongea vitu vingi vya msingi
 
Upori pori wa kiwango cha SGR, kwani unauza ice cream au gari ya matangazo ya jiji?
Bila mziki wenye dba zinazokatazwa na Nemc bado safari hainogi nakuwa kama nipo kwenye jeneza vile..kweli ushamba mzigo.
 
Enjoy maisha bana utakufa bure kwa vitu visivyo na maana binadamu ndo walivyo sanasana pambana upande wako na familia yako watu wengn huwez kuwafundisha sabu ndo maisha wamekulia na kuishi ktk jamii zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…