Bado sehemu kubwa ya watu wetu wamenga'ng'ania vijiji kichwani mwao (waporipori)

Bado sehemu kubwa ya watu wetu wamenga'ng'ania vijiji kichwani mwao (waporipori)

Hiyo no 12 tabia unayo wew....

Unawachukia wahaya hadi siku moja nikakuona unatukana Dada na mama zetu wa kihaya matusi yasiyo na staha hata kidogo....



Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo no 12 tabia unayo wew....

Unawachukia wahaya hadi siku moja nikakuona unatukana Dada na mama zetu wa kihaya matusi yasiyo na staha hata kidogo....



Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mkuu mimi siyo mkabila, mpaka sasa nimekwishapewa utamu na dada zako wawili, na wote wana shule zao nzuri na mizigo ya kuvunja chagga
 
4f877233e5c246e968e383e194d4640c.jpg

CNN:
Sep 13, 2022 Sasa, utafiti wa kuvutia uliotolewa mnamo Septemba 8 umefunua tofauti inayoweza kuwa imewapa wanadamu wa kisasa, au Homo sapiens(tizama ramani), faida ya utambuzi (Akili) juu ya Neanderthals(tizama ramani).
 
hujakaa kijijini usiposalimia unajidai na unajifanya wewe ndo wewe kuna sehemu zingine watu wote wanajuana huyu mjukuu wa flani mtoto wa yule kijana wa mzee flani usiposalimia unaweza ukaitwa kwenye baraza la migogoro, ukaambiwa kwenye vikao vya familia, yani huku vijijini utasikia we kaka nani muwe mnaenda misibani yakiwakuta hapa shauri yenu ........
 
hujakaa kijijini usiposalimia unajidai na unajifanya wewe ndo wewe kuna sehemu zingine watu wote wanajuana huyu mjukuu wa flani mtoto wa yule kijana wa mzee flani usiposalimia unaweza ukaitwa kwenye baraza la migogoro, ukaambiwa kwenye vikao vya familia, yani huku vijijini utasikia we kaka nani muwe mnaenda misibani yakiwakuta hapa shauri yenu ........
Hivi nyie watu wa mijini tuambieni kusalimia wakubwa na kuudhuria misiba kuna athari gani mbaya kwa jamii unao ishi? Mimi naona ni limbukeni au rural-urban axcitement yenu kukosoa kila tabia ya mliko toka.
 
n
Hivi nyie watu wa mijini tuambieni kusalimia wakubwa na kuudhuria misiba kuna athari gani mbaya kwa jamii unao ishi? Mimi naona ni limbukeni au rural-urban axcitement yenu kukosoa kila tabia ya mliko toka.
i mimi au mtoa mada ? 🤣 mi ni wa kijijini nalima zangu mahindi tu Mbinga huku
 
Wanasema unaweza ukamtoa mtu kijijini lakini ukashindwa kutoa kijiji kichwani mwake

Maana yake nini, watu wetu wengi bado ni washamba sana (wapori-porii), bado wanatambaa na mawazo ya kale vichwani mwao.

Haijalishi huyo mtu amesoma shule mpaka levels gani, au amekuwa exposed kiasi gani au ameishi mjini kwa muda gani. Japo saa nyingine watu wanadhani kuzaliwa tu mjini peke yake ni elimu kubwa au kinga ya ushamba.

Hapa sina nia ya kumsema mwendazake na genge lake (sukuma gang) au watu wa mikoani, la khasha, hii ni kwetu sote, ata wa mjini.

Wanafanya matendo au wanatekeleza mila na tamaduni bila kujali athari zake au kuhoji uhalali wake, faida zake na relevance yake katika maisha ya sasa. Wengi ni watu walio kariri kwamba yale yote ya vijijini kwao ndiyo sahihi bila kuzingatia kwamba dunia inakwenda kasi sana

Ninatoa mifano midogo katika haya yanayofanyika:

1. Kusalimia salimia watu hovyo;
2. Kulaumu watu wengine wasipo shiriki misiba au sherehe:
3. Ku force force kujuana juana tunakoishi au mitaaini kwenye hustle nakasirika zaidi nikiwa safarini, sikujui hunijui unaniongelesha nini?;
4. Kulamba viatu vya viongozi na watu matajiri au wenye umaarufu (uchawa)
5; Kusengenya watu makazini, majumbani, kwenye nyumba za ibada na kwenye siasa;
6. Ulozi, kuloga watu wasifanikiwe au kujihusisha na ushirikina na kufanya matambiko;
7. Kufuatilia mambo ya watu wengine, udaku na umbeya mambo ya kishamba sana;
8. Kuongea ongea kwa nguvu kwenye public places, hii ikiwa ni,pamoja na kuongea kwa nguvu ukitumia simu na kujiongelesha mambo yako au kuwasha simu na kusikiliza audio au kutazama video zenye sauti kali kwenye hadhara ya watu, huu ni ushamba mwingi sana;
9. Kuwasha maredio kwa sauti kubwa, majumbani, kwenye gari au boda boda, au kwenye pubs au bar huu ni ukenge sana;
10 Kutembea na wake au wapenzi wa watu ili usifiwe, huo ni ukenge mwingi sana;
11. Code za kilokole, kuvaa masuruali ya vitambaa yenye celebration au turn-ups na mashati oversize, yaani ni ushamba mwingi sana;
12 Kuwa na chuki na watu waliofanikiwa au kabila fulani au watu wa kanda fulani hizo ni code za kishamba sana;
13 Kukaa kwenye fast lane (upande wa kulia wa barabaara huku unaendesha gari taratibu na unaongea na simu ni ushamba mwingi sana;
14 Kupiga piga honi nyingi barabarani bila sababu za msingi au kupiga honi getini kwako ili ufunguliwe ni ushamba sana(weka motor kwenye geti yako acha kusumbua majirani);
15 Ku park hovyo gari barabarani kama mtu wa dala dala ni ushamba mwingi sana.

Kuna mambo mengi sana ya kijinga zaidi haya bado yanendelea kufanywa na kuaminiwa na watu ambao ukiwaona utashangaa.

Kuna baadhi ya nyuzi nimejaribu kutoa humu JF nakupata uhalisia wa watu wetu na mitazamo yao na hiili limenifanya nitafakari uzi huu.






Hii ni sehemu ndogo tu ya reflection ya uhalisia wa watu wetu unaojitokeza kwenye comments zao

Hoja hupingwa na hoja iliyo bora na si vinginevyo
Umesahau na hizi:
16. Kutembea na toothpick mdomoni kutwa nzima tena jitu jingine limeenda restaurant limemaliza kula linakaa hapo kupiga story huku linajichokonoa meno masaa yote bila kujali linawatia kichefuchefu wateja wanaokula
17. Kusalimia kwa kushikana mikono, unakuta jitu jingine linapenga makamasi linajifutia mikono halafu mkikutana linakusalimia kwa kushikana mikono! Mwingine ametoka kukojoa kichochoroni ameshika mboo au katoka kunya akajichambia magazeti au majani ya miti kucha zake zikagusa nnya halafu linakuja kukusalimia kwa mkono![emoji848]
 
Back
Top Bottom