Bado sijaona wa kumzidi Rihanna

Bado sijaona wa kumzidi Rihanna

Ngoma kali kutoka kwa Rihanna
  • Fading
  • Put it up
  • Wild thoughts
  • The monster
  • Fly
  • No love allowed
  • Love the way you lie
  • Man down
  • Needed me
  • What now
  • What's my name
  • Work
  • Teamo
  • Lemon
  • Royalty
  • Unfaithful
  • Rehab
  • We ride
  • Live your life
  • Run this town
  • Talk that talk
  • This is what you came for
  • We found love
  • Hate that I love you
  • Bitch better have my money
  • Umbrella
  • Where have you been
  • Rude boy
  • Diamonds
  • Stupid in love

Niendelee ? Rihanna ni Queen uzi ufungwe
Nimesikitika kuikosa Take a bow kwenye list yako

View: https://youtu.be/J3UjJ4wKLkg?si=HY1eJ0nuuiEqALpv
 
Katika Muziki suala la nani ni bora ni personal preference, hivyo ni halali kwako kuja na hitimisho hilo. Hata hivyo huwezi jua, unaweza kukutana na msanii katika siku zijazo ambaye utavutiwa naye kuliko Rihanna. Endelea ku-enjoy miziki ya mitindo tofauti tofauti utakuja niambia.
Uzi uishie hapa maswala ya kipenda roho sio kila mtu anaafiki kwamba riri ni mkali kwake. Wapo wakali na wataendelea kuwepo. Huyo riri ni wangapi kwenye chati za dunia.
 
Bado sijaona wala kusikia Artist wa kike kumzidi Rihanna hakuna cha beyonce nicki minaj wala taylor swift. Wote hakuna anayeleta taste kama rihanna. Wakumzidi riri bado hajatokea.
That is according to you au sio
 
Huyu ndie msanii maarufu wa U.S.A nisie fahamu ngoma yake hata moja sijui kwa nini ?!.
Sio huyo tu pengine Hufahamu wasanii wengi wa USA maarufu, sisi Africa tuna Genre zetu Hip hop, Pop na R&B, wasanii tunao wajua ni Hizo genre, ila genre nyengine kama Rock hizo Country, Jazz na nyenginezo hatuna mda nazo.

Angalia msanii kama Queen ni maarufu kama Michael jackson Usa ila naamini asilimia 99 ya Watanzania hawamjui,
 
Wasanii wa mbele kwa upande wa shows wote wako moto sana
Kwa mfano ukiangalia vmas za mwaka huu ilikuwa 🔥🔥🔥🔥 shakira na 40s kakimbiza utadhani binti wa miaka 20
 
Next weekend
Unasema ?
20231025_200218.jpg
 
Wasanii wa mbele kwa upande wa shows wote wako moto sana
Kwa mfano ukiangalia vmas za mwaka huu ilikuwa 🔥🔥🔥🔥 shakira na 40s kakimbiza utadhani binti wa miaka 20
Kumbe uliangalia eeh...sasa shughuli nzima Taylor akawa centre of attention 😀
 
Kumbe uliangalia eeh...sasa shughuli nzima Taylor akawa centre of attention 😀
taylor ni 🔥🔥🔥🔥🔥 wasanii wa mbele unaweza usipende nyimbo unapoiona kwenye video au kwenye radio etc ila inapokuja kwenye shows kama vmas bet aisee ni kitu kingine
 
Katika Muziki suala la nani ni bora ni personal preference, hivyo ni halali kwako kuja na hitimisho hilo. Hata hivyo huwezi jua, unaweza kukutana na msanii katika siku zijazo ambaye utavutiwa naye kuliko Rihanna. Endelea ku-enjoy miziki ya mitindo tofauti tofauti utakuja niambia.
Uzi ufungwe...personal preference ndo kila kitu. Mfano mi huniambii kitu kuhusu nick minaj
 
Back
Top Bottom