Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Leta numbers hizo ?Yah mbali sana, namba hazidanganyi!
Ukali wa ngoma, hits, performance, tuzo, mafanikio, umaarufu n.k weka pembeni hapa baadae tutazungumzia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta numbers hizo ?Yah mbali sana, namba hazidanganyi!
Nimesikitika kuikosa Take a bow kwenye list yakoNgoma kali kutoka kwa Rihanna
- Fading
- Put it up
- Wild thoughts
- The monster
- Fly
- No love allowed
- Love the way you lie
- Man down
- Needed me
- What now
- What's my name
- Work
- Teamo
- Lemon
- Royalty
- Unfaithful
- Rehab
- We ride
- Live your life
- Run this town
- Talk that talk
- This is what you came for
- We found love
- Hate that I love you
- Bitch better have my money
- Umbrella
- Where have you been
- Rude boy
- Diamonds
- Stupid in love
Niendelee ? Rihanna ni Queen uzi ufungwe
Nimesikitika kuikosa Take a bow kwenye list yako
View: https://youtu.be/J3UjJ4wKLkg?si=HY1eJ0nuuiEqALpv
Uzi uishie hapa maswala ya kipenda roho sio kila mtu anaafiki kwamba riri ni mkali kwake. Wapo wakali na wataendelea kuwepo. Huyo riri ni wangapi kwenye chati za dunia.Katika Muziki suala la nani ni bora ni personal preference, hivyo ni halali kwako kuja na hitimisho hilo. Hata hivyo huwezi jua, unaweza kukutana na msanii katika siku zijazo ambaye utavutiwa naye kuliko Rihanna. Endelea ku-enjoy miziki ya mitindo tofauti tofauti utakuja niambia.
😂😂😂😂🙌Kama ni hivyo basi nayeye atakua anavaa vijra alafu anamwagia maji kabla ya kucheza singeli ndio maana mnamsifia...🤣
❤Rihanna ana mawe hayo ni machache tu ya haraka nayo yafahamu ningetulia ningeshusha mvua.
Rihanna apewe heshima yake ni Queen Album mpya around the corner anatoa
That is according to you au sioBado sijaona wala kusikia Artist wa kike kumzidi Rihanna hakuna cha beyonce nicki minaj wala taylor swift. Wote hakuna anayeleta taste kama rihanna. Wakumzidi riri bado hajatokea.
Sio huyo tu pengine Hufahamu wasanii wengi wa USA maarufu, sisi Africa tuna Genre zetu Hip hop, Pop na R&B, wasanii tunao wajua ni Hizo genre, ila genre nyengine kama Rock hizo Country, Jazz na nyenginezo hatuna mda nazo.Huyu ndie msanii maarufu wa U.S.A nisie fahamu ngoma yake hata moja sijui kwa nini ?!.
Ndoa itakuwa lini ?
Next weekendNdoa itakuwa lini ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaishi manzese sisi Kwa sisi bingwa WA visingeli
Unasema ?Next weekend
Kumbe uliangalia eeh...sasa shughuli nzima Taylor akawa centre of attention 😀Wasanii wa mbele kwa upande wa shows wote wako moto sana
Kwa mfano ukiangalia vmas za mwaka huu ilikuwa 🔥🔥🔥🔥 shakira na 40s kakimbiza utadhani binti wa miaka 20
😂😂😂😂😂😂nimecheka sana,kwani ulitakaje?
taylor ni 🔥🔥🔥🔥🔥 wasanii wa mbele unaweza usipende nyimbo unapoiona kwenye video au kwenye radio etc ila inapokuja kwenye shows kama vmas bet aisee ni kitu kingineKumbe uliangalia eeh...sasa shughuli nzima Taylor akawa centre of attention 😀
Kesho kutwa nijimilikishe mali yangu mimi😂😂😂😂😂😂nimecheka sana,kwani ulitakaje?
😳😂😂😂🙉mbona haraka ivo?,kwani tutaishi kwa muda gani kwenye ndoa?Kesho kutwa nijimilikishe mali yangu mimi
Uzi ufungwe...personal preference ndo kila kitu. Mfano mi huniambii kitu kuhusu nick minajKatika Muziki suala la nani ni bora ni personal preference, hivyo ni halali kwako kuja na hitimisho hilo. Hata hivyo huwezi jua, unaweza kukutana na msanii katika siku zijazo ambaye utavutiwa naye kuliko Rihanna. Endelea ku-enjoy miziki ya mitindo tofauti tofauti utakuja niambia.