baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Upo sahihi nilimaanisha Freddy mercuryQueen sio msanii, ni Band na lead singer wao alikuwa anaitwa Freddy Mercury.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi nilimaanisha Freddy mercuryQueen sio msanii, ni Band na lead singer wao alikuwa anaitwa Freddy Mercury.
Sio kwamba wabongo wamekariri hicho kimanzi chako kimetoboa US pekee na kwenye baadhi ya jamii ya wazungu lakini worldwide awachie hao kina Rihanna, Beyonce, Nick, Cardi n.k dua lipa ametoboa anga worldwide kuliko hata hako kamanzi.Kama unamuelewa Dua wewe unajua muziki [emoji3]
Wabongo wamekariri story za akina Rihanna tu.
Ile Future Nostalgia ya Dua ni vyuma vitupu mle, na ndo album yenye streams nyingi kwa wasanii wa kike kama 11bilion!
Mkuu umenisaidia huyo Taylor Swift mm namskia tu pia sjui hata anafanana vpHivi huyo Taylor swift anaimba aina gani ya mziki maana sifahamu ngoma yake hata moja ila anasifiwa na wengi. Anaye jua hits zake hata 5 anifahamishe hapa chini ?
Afadhali nimekutana na mtu anayemkubali Dua lipa😃Kama unamuelewa Dua wewe unajua muziki [emoji3]
Wabongo wamekariri story za akina Rihanna tu.
Ile Future Nostalgia ya Dua ni vyuma vitupu mle, na ndo album yenye streams nyingi kwa wasanii wa kike kama 11bilion!
sas hapo ukiorodhosha za nicki si utaharib hiyoist ga rihanaNgoma kali kutoka kwa Rihanna
- Fading
- Put it up
- Wild thoughts
- The monster
- Fly
- No love allowed
- Love the way you lie
- Man down
- Needed me
- What now
- What's my name
- Work
- Teamo
- Lemon
- Royalty
- Unfaithful
- Rehab
- We ride
- Live your life
- Run this town
- Talk that talk
- This is what you came for
- We found love
- Hate that I love you
- Bitch better have my money
- Umbrella
- Where have you been
- Rude boy
- Diamonds
- Stupid in love
Niendelee ? Rihanna ni Queen uzi ufungwe
Jina lake maarufu kuliko ngoma zake haaaaaahMkuu umenisaidia huyo Taylor Swift mm namskia tu pia sjui hata anafanana vp
katy pery?Sasa uzi ufungwe na hujui hata ngoma moja ya Taylor [emoji3]
Jipe muda kumsikiliza utabadili hayo mawazo.
Wakali wapo wengi kuanzia akina Katy Perry, Demi Lovato, Ariana Grande kwa uchache.
Sema wabongo tumekariri akina Rihanna na Beyonce.
Diamonds pekee ni kubwa kuliko ngoma zote za Nicksas hapo ukiorodhosha za nicki si utaharib hiyoist ga rihana
Aseeh kwel kbs namjua jna sura smjui wala ngoma yke yyte siijuiJina lake maarufu kuliko ngoma zake haaaaaah
Mzee Eras tour imefanyika zaidi ya continent moja, na bado inaendelea, hadi amalize atakuwa amezunguka 5 different continents, sasa unaposema ana mafanikio America tuu sijui unamsemea Taylor swift yupi mzee?Sio kwamba wabongo wamekariri hicho kimanzi chako kimetoboa US pekee na kwenye baadhi ya jamii ya wazungu lakini worldwide awachie hao kina Rihanna, Beyonce, Nick, Cardi n.k dua lipa ametoboa anga worldwide kuliko hata hako kamanzi.
Hata huyu dogo wa kike wa sasa Ice spice naye kaenda worldwide kuliko hata hicho kimanzi chako
Unajua kuna watu kama hawajui jambo wanahisi kila mtu hajui, sasa badala ya kujifunza mtu anakaza fuvu..ajabu sana [emoji3]Mzee Eras tour imefanyika zaidi ya continent moja, na bado inaendelea, hadi amalize atakuwa amezunguka 5 different continents, sasa unaposema ana mafanikio America tuu sijui unamsemea Taylor swift yupi mzee?
Leta numbers mbona numbers kama hiviMzee Eras tour imefanyika zaidi ya continent moja, na bado inaendelea, hadi amalize atakuwa amezunguka 5 different continents, sasa unaposema ana mafanikio America tuu sijui unamsemea Taylor swift yupi mzee?
Alaf Tyalor swift ana mafanikio U.K kuliko hata America, ni mbritish yule sio American.
Hapa mipasho kama ya Khadija kopa haiitajiki bali numbers leta numbers kutetea hicho kisanii chako maarufu kwa jina kuliko nyimbo zakeUnajua kuna watu kama hawajui jambo wanahisi kila mtu hajui, sasa badala ya kujifunza mtu anakaza fuvu..ajabu sana [emoji3]
Kuna jamaa yangu ananiambiaga "akili mtu wangu"
Visanii vya kizungu vya promo nyingi kuliko ukubwa wa ngoma zao.Aseeh kwel kbs namjua jna sura smjui wala ngoma yke yyte siijui
Kwanza mi hata sipendagi kubishana na mtu ambaye tayar ameshaamua ukweli wake uwe upi.Unajua kuna watu kama hawajui jambo wanahisi kila mtu hajui, sasa badala ya kujifunza mtu anakaza fuvu..ajabu sana [emoji3]
Kuna jamaa yangu ananiambiaga "akili mtu wangu"
Yah ndo hivyo mkuu, huwezi kumbadilisha mtu wa namna hiyo, ndo maana mimi sijahangaika kuweka hizo records. Kikubwa mpenzi yeyote wa muziki huwa anajiupdate, mi mtu akinitajia msanii kama simjui najipa muda kumsikiliza maana najua nitapata kitu maana muziki ni burudani wala sio vita!Kwanza mi hata sipendagi kubishana na mtu ambaye tayar ameshaamua ukweli wake uwe upi.
Hata utafute records za namna gani kama mtu kashilikia kitu chake, huwez kumtoa kweny line.
Bora hata tuzungumzie wasanii walioleta impact duniani kama Elvis, Michael Jackson, Bob Dylan, Bob Marley kuliko kuzungumzia videmu hivi jaujau, sijui Rihanna sijui Taylor swift