Bado sijaona wa kumzidi Rihanna

Bado sijaona wa kumzidi Rihanna

Kama unamuelewa Dua wewe unajua muziki [emoji3]
Wabongo wamekariri story za akina Rihanna tu.
Ile Future Nostalgia ya Dua ni vyuma vitupu mle, na ndo album yenye streams nyingi kwa wasanii wa kike kama 11bilion!
Sio kwamba wabongo wamekariri hicho kimanzi chako kimetoboa US pekee na kwenye baadhi ya jamii ya wazungu lakini worldwide awachie hao kina Rihanna, Beyonce, Nick, Cardi n.k dua lipa ametoboa anga worldwide kuliko hata hako kamanzi.

Hata huyu dogo wa kike wa sasa Ice spice naye kaenda worldwide kuliko hata hicho kimanzi chako
 
Hivi huyo Taylor swift anaimba aina gani ya mziki maana sifahamu ngoma yake hata moja ila anasifiwa na wengi. Anaye jua hits zake hata 5 anifahamishe hapa chini ?
Mkuu umenisaidia huyo Taylor Swift mm namskia tu pia sjui hata anafanana vp
 
Kama unamuelewa Dua wewe unajua muziki [emoji3]
Wabongo wamekariri story za akina Rihanna tu.
Ile Future Nostalgia ya Dua ni vyuma vitupu mle, na ndo album yenye streams nyingi kwa wasanii wa kike kama 11bilion!
Afadhali nimekutana na mtu anayemkubali Dua lipa😃

Dual Lipa ana mziki wa tofauti kidogo na wadada wenzake, yaan ana signature yake kweny mziki, mfano mwingine ni kama Billie Eilish
 
Kwa hao uliwataja hakuna wakumgusa RiRi mazeeh hao kna Beyonce wanasifiwa tu ila hawana hits za kukonga kama RiRi .
 
nicki minaji?
fuatilia vizur kazo zao
nicki ni zaid ya rihanna kwenge muziki
amini hilo
 
Namba kama hizi

The pop star and Fenty mogul is now the first female artist to have 10 songs reach 1 billion streams on Spotify, breaking the impressive record despite not having released an album since Hard debuted in 2016.
 
Ngoma kali kutoka kwa Rihanna
  • Fading
  • Put it up
  • Wild thoughts
  • The monster
  • Fly
  • No love allowed
  • Love the way you lie
  • Man down
  • Needed me
  • What now
  • What's my name
  • Work
  • Teamo
  • Lemon
  • Royalty
  • Unfaithful
  • Rehab
  • We ride
  • Live your life
  • Run this town
  • Talk that talk
  • This is what you came for
  • We found love
  • Hate that I love you
  • Bitch better have my money
  • Umbrella
  • Where have you been
  • Rude boy
  • Diamonds
  • Stupid in love

Niendelee ? Rihanna ni Queen uzi ufungwe
sas hapo ukiorodhosha za nicki si utaharib hiyoist ga rihana
 
Sasa uzi ufungwe na hujui hata ngoma moja ya Taylor [emoji3]
Jipe muda kumsikiliza utabadili hayo mawazo.
Wakali wapo wengi kuanzia akina Katy Perry, Demi Lovato, Ariana Grande kwa uchache.
Sema wabongo tumekariri akina Rihanna na Beyonce.
katy pery?
ariana msani mzuri sana sana
 
Sio kwamba wabongo wamekariri hicho kimanzi chako kimetoboa US pekee na kwenye baadhi ya jamii ya wazungu lakini worldwide awachie hao kina Rihanna, Beyonce, Nick, Cardi n.k dua lipa ametoboa anga worldwide kuliko hata hako kamanzi.

Hata huyu dogo wa kike wa sasa Ice spice naye kaenda worldwide kuliko hata hicho kimanzi chako
Mzee Eras tour imefanyika zaidi ya continent moja, na bado inaendelea, hadi amalize atakuwa amezunguka 5 different continents, sasa unaposema ana mafanikio America tuu sijui unamsemea Taylor swift yupi mzee?
 
List hiyo hapo ya best selling female artist of all times. Inaongozwa na Maddona inafuatiwa na riri then Mariah carey. Hakuna cha queen bee. Taylor swift Whitney Houston (RIP) Ariana Celine dion wala cha nani nani. Let us take time to appreciate na ukizingatia ni black si rahisi kutunishiana misuli na artist wakizungu
 
Mzee Eras tour imefanyika zaidi ya continent moja, na bado inaendelea, hadi amalize atakuwa amezunguka 5 different continents, sasa unaposema ana mafanikio America tuu sijui unamsemea Taylor swift yupi mzee?
Unajua kuna watu kama hawajui jambo wanahisi kila mtu hajui, sasa badala ya kujifunza mtu anakaza fuvu..ajabu sana [emoji3]
Kuna jamaa yangu ananiambiaga "akili mtu wangu"
 
Alaf Tyalor swift ana mafanikio U.K kuliko hata America, ni mbritish yule sio American.
Leta numbers mbona numbers kama hivi

From being the richest female musician on the plant to being the first artist ever to achieve 100 million RIAA single certifications.
 
Unajua kuna watu kama hawajui jambo wanahisi kila mtu hajui, sasa badala ya kujifunza mtu anakaza fuvu..ajabu sana [emoji3]
Kuna jamaa yangu ananiambiaga "akili mtu wangu"
Hapa mipasho kama ya Khadija kopa haiitajiki bali numbers leta numbers kutetea hicho kisanii chako maarufu kwa jina kuliko nyimbo zake
 
Unajua kuna watu kama hawajui jambo wanahisi kila mtu hajui, sasa badala ya kujifunza mtu anakaza fuvu..ajabu sana [emoji3]
Kuna jamaa yangu ananiambiaga "akili mtu wangu"
Kwanza mi hata sipendagi kubishana na mtu ambaye tayar ameshaamua ukweli wake uwe upi.
Hata utafute records za namna gani kama mtu kashilikia kitu chake, huwez kumtoa kweny line.

Bora hata tuzungumzie wasanii walioleta impact duniani kama Elvis, Michael Jackson, Bob Dylan, Bob Marley kuliko kuzungumzia videmu hivi jaujau, sijui Rihanna sijui Taylor swift
 
Yah ndo hivyo mkuu, huwezi kumbadilisha mtu wa namna hiyo, ndo maana mimi sijahangaika kuweka hizo records. Kikubwa mpenzi yeyote wa muziki huwa anajiupdate, mi mtu akinitajia msanii kama simjui najipa muda kumsikiliza maana najua nitapata kitu maana muziki ni burudani wala sio vita!
 
Back
Top Bottom