Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Take and shove them up your @$$.
Wewe umeona kuna Watu wakiandamana nchi hii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Take and shove them up your @$$.
Wengi sana. Uratibu ukifanyika vizuri kuanzia kwenye mashina ya chama.Wewe umeona kuna Watu wakiandamana nchi hii?
Sina imani na Mbowe lakini tunahitaji maandamano.
Wengi sana. Uratibu ukifanyika vizuri kuanzia kwenye mashina ya chama.
Dunia haendi hivyo nikitaka kitu mimi sina haja ya kukusubiri wewe. Watu wakuandamana wapo ni suala la ku organise tu.Hapo ndio swali linakuja! Unahitaji wewe na nani?
Kile unachoona ni haki je wengine wanaona kama wewe?
Upo sahihi hivi ndivyo Watanganyika tulivyo tengenezwa toka utawala wa kipumbavu wa Nyerere.
Nawaheshimu sana Wazanzibari katika kudai haki kidogo wao wana uhai licha ya kuteswa na kuuawa na askari wa Tanganyika.
Hizo ni akili za kizamani. Maandamano ni lazima yawe smart na strategic kuwa objective.Kwa chama kinachojinasibu kina wanachama zaidi ya milioni nane hata pasiporatibiwa. Tamko moja tuu la mwenyekiti wao lingetosha kabisa.
Sasa uratibu unazungumzia nini?
Umeupiga mwingi sana mkuu ila kwa hali inavyozidi kuwa mbaya ipo siku hiki kizazi cha panya rodi wataungana watakinukisha unajua malezi tuliolelewa yanafanya mtu ujitafakari sana ukishaona unaishi familia inakula unaona yanini malumbano ukapoteze familia yako ila kuna hiki kizazi jeuri hawana la kupoteza na malezi waliopewa ni songa twende watafanya jambo na mbaya zaidi ni hiki hiki kizazi ndio kinakutana na ukosefu wa ajira kuminywa kwa uhuru serikali kutojali wananchi kwahyo wataamua kukinukisha na ndipo kizazi chetu tunaweza waunga mkono mbali na hapo itabaki kuzaliwa na kufa tanzania bila kuona mambo ya msingi yakifanyikaKwema Wakuu!
Sina uzoefu mkubwa wa mambo ya siasa za nchi hii. Lakini kwa akili zangu hizi ndogo nadiriki kusema kuwa kile alichotangaza Mhe. Mbowe kwamba wataandaa maandamano ya Amani januari 24 hayatafanyika.
Hayo mambo ya kusema sijui Bakabaka watafanya Usafi wala isije ikawa kisingizio.
Bakabaka hawajawahi kuwa tishio kwa Wananchi walioamua kudai haki zao za msingi. Narudia Bakabaka hawajawahi kuwa kizuizi kwa Watu walioamua kudai haki zao.
Kwa nchi yetu hatuna Watu wa aina hiyo. Na kama wapo basi kwenye laki yupo mmoja.
Nchi hii ingekuwa na Watu angalau elfu tano tuu wenye ile roho ya kudai na kupigania haki zao basi mambo mengi yangeenda. Lakini kwa bahati mbaya Watu hao hawapo.
Kwa nchi yetu hata Watu wachukuliwe Wake zao, nina uhakika hakuna wa kuandamana. Wataishia tuu kulalama chinichini. Kwani hata kupiga kelele hawana huo uwezo.
Elewa kuwa Watu wanaodai haki zao sifa yao kubwa hawaogopi Kifo. Hiyo ndio sifa yao namba moja. Na kama hawaogopi kifo maana yake hakuna wanachoogopa katika hii dunia.
Huwezi kudai haki ikiwa kuna kitu chenye thamani kuliko haki unayoidai. Huo ni ulaghai. Kujidanganya na kudanganya Watu.
Nawatakia jumapili njema
Dunia haendi hivyo nikitaka kitu mimi sina haja ya kukusubiri wewe. Watu wakuandamana wapo ni suala la ku organise tu.
Umesema kweli kabisa watu hswezi kuandana kabisa kwa sababu kwanza wamegawanyika sana na kitu kingine badi ridhiki inapatikana hivyo at list watu wanapata ata mlo mmoja, tunaendelea kupata misaada kutoka nje kwa sababu nchi yetu bado inalasilimali nyingi, zitakapo kwisha ndipo akili itatukaa sawa, hakuna mtu ataksye ambiwa aandamane ila utajikuta unaandamana mwenyewe, ikifikia kama wale wakoma walioenda kwenye kambi ya washami kuomba chakula ndipo watu akili itawakaa sawa, hivi sasa wacha tuendelee kufaidi dona na ndondo.Kwema Wakuu!
Sina uzoefu mkubwa wa mambo ya siasa za nchi hii. Lakini kwa akili zangu hizi ndogo nadiriki kusema kuwa kile alichotangaza Mhe. Mbowe kwamba wataandaa maandamano ya Amani januari 24 hayatafanyika.
Hayo mambo ya kusema sijui Bakabaka watafanya Usafi wala isije ikawa kisingizio.
Bakabaka hawajawahi kuwa tishio kwa Wananchi walioamua kudai haki zao za msingi. Narudia Bakabaka hawajawahi kuwa kizuizi kwa Watu walioamua kudai haki zao.
Kwa nchi yetu hatuna Watu wa aina hiyo. Na kama wapo basi kwenye laki yupo mmoja.
Nchi hii ingekuwa na Watu angalau elfu tano tuu wenye ile roho ya kudai na kupigania haki zao basi mambo mengi yangeenda. Lakini kwa bahati mbaya Watu hao hawapo.
Kwa nchi yetu hata Watu wachukuliwe Wake zao, nina uhakika hakuna wa kuandamana. Wataishia tuu kulalama chinichini. Kwani hata kupiga kelele hawana huo uwezo.
Elewa kuwa Watu wanaodai haki zao sifa yao kubwa hawaogopi Kifo. Hiyo ndio sifa yao namba moja. Na kama hawaogopi kifo maana yake hakuna wanachoogopa katika hii dunia.
Huwezi kudai haki ikiwa kuna kitu chenye thamani kuliko haki unayoidai. Huo ni ulaghai. Kujidanganya na kudanganya Watu.
Nawatakia jumapili njema
Kipindi kile hivi vyama vilikuwa vya moto sana lakini pia wafuasi wengi walikuwa hawafahamu undani wa viongozi wa hvi vyama so kwa Sasa watu wengi wanafahamu kuwa Hawa ni vibaraka wa chama tawala ni Ngumu Sana kwa Sasa watu kuwa mstari mbele na Hawa viongozi sana sana labda ni wale wenye masilahi na hizo saccos.Mbona watu waliandamana kwa ajili ya NCCR, CUF na chadema ya Slaa ulikuwa hujazaliwa? Ni muda kamati za Chadema kuwaita wanachama hai kutimiza majukumu yao kwa chama na Nchi.

Kwema Wakuu!
Sina uzoefu mkubwa wa mambo ya siasa za nchi hii. Lakini kwa akili zangu hizi ndogo nadiriki kusema kuwa kile alichotangaza Mhe. Mbowe kwamba wataandaa maandamano ya Amani januari 24 hayatafanyika.
Hayo mambo ya kusema sijui Bakabaka watafanya Usafi wala isije ikawa kisingizio.
Bakabaka hawajawahi kuwa tishio kwa Wananchi walioamua kudai haki zao za msingi. Narudia Bakabaka hawajawahi kuwa kizuizi kwa Watu walioamua kudai haki zao.
Kwa nchi yetu hatuna Watu wa aina hiyo. Na kama wapo basi kwenye laki yupo mmoja.
Nchi hii ingekuwa na Watu angalau elfu tano tuu wenye ile roho ya kudai na kupigania haki zao basi mambo mengi yangeenda. Lakini kwa bahati mbaya Watu hao hawapo.
Kwa nchi yetu hata Watu wachukuliwe Wake zao, nina uhakika hakuna wa kuandamana. Wataishia tuu kulalama chinichini. Kwani hata kupiga kelele hawana huo uwezo.
Elewa kuwa Watu wanaodai haki zao sifa yao kubwa hawaogopi Kifo. Hiyo ndio sifa yao namba moja. Na kama hawaogopi kifo maana yake hakuna wanachoogopa katika hii dunia.
Huwezi kudai haki ikiwa kuna kitu chenye thamani kuliko haki unayoidai. Huo ni ulaghai. Kujidanganya na kudanganya Watu.
Nawatakia jumapili njema
Hujui chochote kuhusu maandamano ya Kenya. Wasingekuwa wana organise wakina Uhuru na Ruto wasingepelekwa The Hague.Maandamano ya hapo Kenya unajua yalifanyikaje?
Lilikuwa tamko moja tuu la Odinga na wote tunajua nini kilifanyika.
Ku-organise kwani ni mapinduzi?
Mapinduzi ndio yanahitaji uratibu
Umeupiga mwingi sana mkuu ila kwa hali inavyozidi kuwa mbaya ipo siku hiki kizazi cha panya rodi wataungana watakinukisha unajua malezi tuliolelewa yanafanya mtu ujitafakari sana ukishaona unaishi familia inakula unaona yanini malumbano ukapoteze familia yako ila kuna hiki kizazi jeuri hawana la kupoteza na malezi waliopewa ni songa twende watafanya jambo na mbaya zaidi ni hiki hiki kizazi ndio kinakutana na ukosefu wa ajira kuminywa kwa uhuru serikali kutojali wananchi kwahyo wataamua kukinukisha na ndipo kizazi chetu tunaweza waunga mkono mbali na hapo itabaki kuzaliwa na kufa tanzania bila kuona mambo ya msingi yakifanyika
Yaani familia yangu wananisubiri nirudi na chakula, jioni niwaambie nilienda kwa Mbowe kuandamana
Ndio maana wanahitaji ku organize wanachama hai. Wananchi wata pick up along the way sababu watu wana hasira zao.Kipindi kile hivi vyama vilikuwa vya moto sana lakini pia wafuasi wengi walikuwa hawafahamu undani wa viongozi wa hvi vyama so kwa Sasa watu wengi wanafahamu kuwa Hawa ni vibaraka wa chama tawala ni Ngumu Sana kwa Sasa watu kuwa mstari mbele na Hawa viongozi sana sana labda ni wale wenye masilahi na hizo saccos.